Kweli CCM ya Nyerere imegeuka hadi inatuletea visivyoeleweka kila uchao

Kweli CCM ya Nyerere imegeuka hadi inatuletea visivyoeleweka kila uchao

Nyerere huko aliko atakua haamini kinachotokea! Chama alichofikiri kitabeba maono ya wakulima na wafanyakazi wa nchi hii kimegeuka kuwa mali ya kikundi cha watu wachache (wanamtandao ambao Polepole aliwaita wahuni) wenye maslahi yao binafsi!
 
Eti Ndejembi ndiye kapendekezwa! Heri hiyo nafasi ingebaki wazi au kupewa Abduli kama siyo Wanuu au Mchengerwa. Tumefikishwa hapa? Natamani huyu awe mzanzibari wa mwisho kuwa rais wetu. Inauma na kuumiza kuona nchi inakwenda kwa mafisi na mafisadi.
Tanganyika imekufa kifo cha mende!
Nyerere alichelewa sana kufa!
 

Attachments

  • Screenshot_2026-08-27-04-59-50-43_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2026-08-27-04-59-50-43_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    145.9 KB · Views: 11
Back
Top Bottom