Kweli Congo imelaanika, hata askari mwenyewe anaiba (loot) kwenye duka analopaswa kulilinda. Tazama video hii.

Kweli Congo imelaanika, hata askari mwenyewe anaiba (loot) kwenye duka analopaswa kulilinda. Tazama video hii.

Yaani Askari kuiba ndio Congo imelaanika? Kwahiyo Tanzania imelaanika? Mara ngapi vitu vilivyokamatwa na polisi wetu havionekani au mtuhumiwa akikamatwa na polisi mali anazokutwa nazo zinaibiwa?
 
Hii ndo Afrika, ila sio mbaya mana hata majeshi ya UN nao wakija hua wanaiba pembe za ndovu
 
Back
Top Bottom