Jiulize swali dogo tu, huyo aliyeandika Dr. Slaa ametamka hayo maneno, kwanini ameshindwa kutuwekea video inayoendana na kile alichoandika ili kuthibitisha madai yake dhidi ya Dr. Slaa?
Video wanayoiweka, ni kipande kifupi, kisichozidi hata sekunde kumi, ambacho nacho hakitoshi kuthibitisha madai yao dhidi ya Dr. Slaa, maneno ya kwenye video ni machache sana ukilinganisha na yale aliyoandika mleta mada, huyu ni wazi ametunga.
Miaka yote ukiona uzi umevamiwa na
Ritz kahtaan FaizaFoxy na wale wengine wawili, ujue hapo ni udini tu, hakuna facts, wapuuzwe.