Kweli Dkt. Slaa kwenye matamshi yake ametamka "tutafanya hivyo"?

Kweli Dkt. Slaa kwenye matamshi yake ametamka "tutafanya hivyo"?

faizafoxy nitamshukuru mola kipindi hiki cha mjadala wa Bandari uanguke Ukutane badalaa la kupigwa pini Jf.
 
Hii
Mods wajiridhishe kuhusu yaliyotamkwa kwenye clip na yaliyonukuliwa hapa JF.kwa maandishi na wachukue hatua stahiki in case kuna upotioshaji wa makusudi.

Hizo nukuu karibu zote naona zina maneno ambayo kwenye clip hayapo sio tu ya Dr. Slaa hata za hao watuhumiwa wengine.
 
Back
Top Bottom