Kweli Dkt. Slaa kwenye matamshi yake ametamka "tutafanya hivyo"?

Solution ya nchi hii ni hiyo no alternative
 
dua la kiuku halimpati mwewe

Kumbe wewe mtoto umezaliwa juzi....hujui dunia ian historia gani............................kwaheri

Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980

 
Mapinduzi maana yake ni Uhaini... sasa mbona ccm wao wanaitwa chama cha mapinduzi au nao ni wahaini pia?
Haya, kawashitaki.

Siku hizi mamboi ni mahakama tu. Kila mtu apate haki yake.
 
Haya, kawashitaki.

Siku hizi mamboi ni mahakama tu. Kila mtu apate haki yake.
kwa kosa gani ndugu? la uhaini kama wao wanavyo washitaki wengine au? uhaini kwa maana ya mapinduzi, halari au sio halari upo wa aina nyingi. mfano sanduku ka kura ( ni legalised mapinduzi) , migomo ya madaktari, walimu, etc, vyote hivi ni mambo yanaweza kuitwa mapinduzi au uhaini wa ku-change status quo ili mambo yabadilike. Hata yakiwa mapinduzi ya kijeshi/Uhaini, yatakubarika tu ili mradi masses /majority wakubali. Kwa taarifa yako, hata kwenda mahakani pia ni uhaini... hatuna nchi ya kifalme kwamba mtu mmoja atakaa madarakani milele, kama ndivyo hivyo, ya ni nini kuita wenzako wahainui ili hali wanataka mabadiriko? Ni nani mwenye hati miliki ya uongozi ktk nchi inayofuata mifumo ya kidemocrasia?
 
Haya. Nenda mahakamani.
 
Haya. Nenda mahakamani.
kufanya nini? niambie kosa la kupeleka mahakamani ndugu... mimi nakubaliana na mapinduzi kama ccm inavyoitwa chama cha mapinduzi - " Uhaini"- sio kosa... amaka, acha kulishwa maneno, changanya na zako...
 
Kabla sijachangia huu uzi nimetafuta ukweli nikaupa kuwa ni kweli Dr.Slaa alitoa hayo matamshi.
Sio kila mzee anabusara,kukosoa kwa staha ni bora zaidi.
 
Ingekuwa inaihusu CCM huenda hata tusingeusoma Uzi huu, Mods wanamakengeza.
 
Clip iliwekwa humu JF CHADEMA WAHAINI wakaifuta
 
Aisee kumbe wameongea hivi? Hakika wanastahili kitachowapata.
 
Sasa Hadi uje udhibitishwe utakuwa umezota Sana [emoji38] case nyingi za tz Ni usushi hazina ushahidi
 
Nakusudia kulishtaki jeshi la Polisi Tanzania kwa kusababisha taharuki ktk Taifa... kupitia uzushi wa uhaini
 
na chuki imeshakuwa permanently implanted among Tanzanians against CCM na vizazi vyao. Hii kitu itawaangamiza CCM na vizazi vyao hata iwe miaka 200!
Nakubaliana nawe ijapokuwa watawala wanadanganywa na wasaidizi kwamba hali ni shwari. Watanzania wanapandikizwa chuki mbaya sana. Kama alivyotoa maoni yake Prof Kabudi kabla ya kuingia kwenye mfumo wa serikali aliwahi kusema : ogopa sana mtu anayenung'unika lakini anaka kimya, siku akikosa uvumilivu ni mbaya sana hatua anazochukua"

Kuna watu wakati wa kampeni za JPM 2020 walidai wataleta snipper kumdhuru lakini hawakukamatwa mpaka le, kuna waliofanya sherehe ya kufuru baada ya kifo chake baadhi walikamatwa lakini kwa maagizo toka juu wakaachiwa huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…