Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wanatoa macho hao , kuusoma ujumbe wako.Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama.
Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo gerezani.
Ikumbukwe kwa aina ya vikao vya CCM tena vikiwa na agenda ya kuhoji watu maarufu km kina Gwajima na Polepole hakika Dodoma na kwenye vyombo vya habari kusingetosha!
CCM ndiyo mwisho wa enzi tena.
Yeye pia ni mwananchi ujue hilo lakini. Halafu kama wewe unachanzo chakuaminika cha kucover habari yake unaweza pia kutitirika hapahapa jukwaani. Otherwise unapiga ramli kama wengine tu.Ukweli ulio mchungu kwako na kwa wengine wengi hususani BAVICHA na BAWACHA wenzako ni kwamba walikuwa wanasubiri kwa hamu kusikia tu kitakachojiri kwenye vikao.
Vikao vya lile dude (CCM) ni vya kipekee sana na vyenye kusikilizwa na kutazamwa na wengi sana hivyo tafuta chanzo cha kuaminika ili upate ukweli wa uzito na umuhimu wa vikao hivyo na pia upate mtazamo wa wanachi
Miccm mnajikaza tu wenyewe. Atafute tena vyanzo vya kuaminika,wakati mwenyewe umesema wananchi wote wanafuatilia.Ukweli ulio mchungu kwako na kwa wengine wengi hususani BAVICHA na BAWACHA wenzako ni kwamba walikuwa wanasubiri kwa hamu kusikia tu kitakachojiri kwenye vikao.
Vikao vya lile dude (CCM) ni vya kipekee sana na vyenye kusikilizwa na kutazamwa na wengi sana hivyo tafuta chanzo cha kuaminika ili upate ukweli wa uzito na umuhimu wa vikao hivyo na pia upate mtazamo wa wanachi
Hivi nilini ccm iliwahi kuwa maarufu kwa kutenda mema kwa watanzania?Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama.
Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo gerezani.
Ikumbukwe kwa aina ya vikao vya CCM tena vikiwa na agenda ya kuhoji watu maarufu km kina Gwajima na Polepole hakika Dodoma na kwenye vyombo vya habari kusingetosha!
CCM ndiyo mwisho wa enzi tena.
Wamepagawa vibaya maccmWanatoa macho hao , kuusoma ujumbe wako.
Huo ndiyo ukweli usiyo na shakaAmani ya Tza imeshikiliwa na Mbowe na sio police
Acha kujitoa ufahamu km humjui mbowe ww MTU anajulikana mpaka na serikali ya Marekani CCM ilivyozidi kumpaisha.Mbowe ndo nani mkuu mbona huku uraiani hafahamiki. Kila nikikatiza kona nasikia habari ya Polepole na wengine wanasubiri masaa 72 ya yule jamaa wa kawe. So labda umaarufu huo ni wa kwako na familia yako.