Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama.
Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo gerezani.
Ikumbukwe kwa aina ya vikao vya CCM tena vikiwa na agenda ya kuhoji watu maarufu km kina Gwajima na Polepole hakika Dodoma na kwenye vyombo vya habari kusingetosha!
CCM ndiyo mwisho wa enzi tena.