Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Jaribu kwa djmwanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko vizuri nimeijaribuMkuu mimi sipendi usumbufu wa matangazo, ngoma zote nachukulia www.tubidy.cool .
Jaribu hii website, Haina usumbufu wowote ..
Super nintendo sega genesisHivi siku hizi Kuna muziki wa kusikiliza au niendelee na Tupac tu?!
Sawa chukua pointi tatu basiUnapenda kuwanyonya wenzio ila kuangalia matangazo yanayowapatia pesa ili uendelee kupata huduma hautaki.... miziki ya kustream ili wasanii wajipatie kipato wewe unatumia njia za kimagendo na unazisave kabisa hii kwako ni sawa.... Mwisho unauliza ile website/app iliishia wapi!!!!
Binadamu tupunguze unafiki
Kusikiliza muziki ni haram.
Ila YMUSIC unaweza kudownload audio kutoka youtube haina matangazo na pia Snaptube unaweza kudownload video na audio kutokea Youtube au kwengine.mUnasema uziki ni haramu wakati huo huo unatoa app za kudownload huo muziki tukueleweje?
Unasema muziki ni haramu wakati huo huo unatoa app za kudownload huo muziki tukueleweje? Kama sio unafiki ni nini 😳😳Kusikiliza muziki ni haram.
Ila YMUSIC unaweza kudownload audio kutoka youtube haina matangazo na pia Snaptube unaweza kudownload video na audio kutokea Youtube au kwengine.
Yani mi mpaka yale matangazo ya youtube nayachukia kinoma asee.
Kama unaambiwa uache kula Bata kwamba utakula Bata ukifa (wakati hakuna uhakika) kama sio betting ni nini ? Kujinyima ili upate baadae alafu kumbe hakuna kitu huko uendako....Yaani kwa sasa chaneli za madhehebu ya dini tu ndo hakuna kubet!
Don't panic,ups are hiring-bigSuper nintendo sega genesis
When i was dead broke i couldnt picture this - biggie
Ebhanaeeee tuendeleee tuu
Wewe tu ulivyoelewa mkuu, mimi nimemkumbusha mleta kuwa kama anasikiliza muziki akumbuke kuwa nao ni haram kama ilivyo haram kamari ambayo anachukizwa nayo. Ila hizo apps nimesema unaweza kudownloadia audio na video hivyo sheikh wangu hata wewe unaweza kudownloadia mawaidha badala ya muziki hivyo ni uchaguzi wa mtu.Un
Unasema muziki ni haramu wakati huo huo unatoa app za kudownload huo muziki tukueleweje? Kama sio unafiki ni nini 😳😳
😨🤣🤣🤣Juzi trafiki amekagua gari yangu kama inadaiwa kakuta haina mkeka cha ajabu kaniprintia kale ka karatasi nakuta kwa nyuma kana tangazo la betting, nikasema hii imekaaje?View attachment 3162933View attachment 3162935
Lilikua natangazo kubwa pale namanga sikuhizi Ina itwa premier betBetting hapa bongo haijaaza Leo.
Kama unaikumbuka JACKPOT BINGO enzi zile ITV ikiwa inatangazwa na Teddy Kalonga na Monalisa basi utaelewa.
Roho mbaya itakuua bofreéUlipoweka Mohammed kama mtu wa mfano ndio ulipo haribu, Mohammed hawezi kua role model kwa vyovyote vile; yaani kama unataka kumcha Mungu then Mohammed hawezi kua ndio mtu wako wa mfano, never. Kafanya mengi mno yasiompendeza Mungu, kapiga show hadi na watoto ambao hawaja vunia UNGO, halafu mtu huyo anaweza kua na udhu wa kukemea ulevi na walevi au wacheza kamari? Absolutely No