Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

Sawa chukua pointi tatu basi
 
Un

Kusikiliza muziki ni haram.

Ila YMUSIC unaweza kudownload audio kutoka youtube haina matangazo na pia Snaptube unaweza kudownload video na audio kutokea Youtube au kwengine.
Unasema muziki ni haramu wakati huo huo unatoa app za kudownload huo muziki tukueleweje? Kama sio unafiki ni nini 😳😳
 
Farhia wa ITV ni wa kukwambia weka buku ujishindie!?

Hapo ndipo nilipowashusha viwango ITV, inanilazimu kukaa na remote wakianza tu nabadili kituo kwa muda.
 
Yaani kwa sasa chaneli za madhehebu ya dini tu ndo hakuna kubet!
Kama unaambiwa uache kula Bata kwamba utakula Bata ukifa (wakati hakuna uhakika) kama sio betting ni nini ? Kujinyima ili upate baadae alafu kumbe hakuna kitu huko uendako....

Kwahio unless unachofanya unakipenda na sio kujinyima kwa ajili ya kesho huenda mkeka ukachanika...
 
Un



Unasema muziki ni haramu wakati huo huo unatoa app za kudownload huo muziki tukueleweje? Kama sio unafiki ni nini 😳😳
Wewe tu ulivyoelewa mkuu, mimi nimemkumbusha mleta kuwa kama anasikiliza muziki akumbuke kuwa nao ni haram kama ilivyo haram kamari ambayo anachukizwa nayo. Ila hizo apps nimesema unaweza kudownloadia audio na video hivyo sheikh wangu hata wewe unaweza kudownloadia mawaidha badala ya muziki hivyo ni uchaguzi wa mtu.
 
Juzi trafiki amekagua gari yangu kama inadaiwa kakuta haina mkeka cha ajabu kaniprintia kale ka karatasi nakuta kwa nyuma kana tangazo la betting, nikasema hii imekaaje?
 
Betting hapa bongo haijaaza Leo.

Kama unaikumbuka JACKPOT BINGO enzi zile ITV ikiwa inatangazwa na Teddy Kalonga na Monalisa basi utaelewa.
Lilikua natangazo kubwa pale namanga sikuhizi Ina itwa premier bet
 
Ulipoweka Mohammed kama mtu wa mfano ndio ulipo haribu, Mohammed hawezi kua role model kwa vyovyote vile; yaani kama unataka kumcha Mungu then Mohammed hawezi kua ndio mtu wako wa mfano, never. Kafanya mengi mno yasiompendeza Mungu, kapiga show hadi na watoto ambao hawaja vunia UNGO, halafu mtu huyo anaweza kua na udhu wa kukemea ulevi na walevi au wacheza kamari? Absolutely No
 
Ohoo kumekucha 🤣🤣🤣
 
Roho mbaya itakuua bofreé
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…