kilichofanyika hapa ni kufaulisha walofeli..yaani kupunguza 0. ili nchi itulie..
mkuuhaiwezekani mwanzo nina div 4 ya 27 sasa nini 26 wakati watu wametoka div 4 ya 30 hadi div 3 kweli jamani hii
kilichofanyika hapa ni kufaulisha walofeli..yaani kupunguza 0. ili nchi itulie..
Komaa na A level ndugu.huko wakikosea tena tutajua tu tatizo lipo wapi. Usikonde. Kaza moyo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Inawezekana kuna tatizo kweli lakini kimahesabu mimi naliona linawezekana tu:Wakuu jf mi ni mojawapo ya wanafunzi waliofaulu kwenda form v 2013 kabla ya matokeo kufutwa lakin cha kushangaza matokeo yangu hayajabadilika wakati kuna watu walokuwa na iv za 28 na 27 lakini wamepanda hadi 25 na 24 alafu mimi nimebaki palepale 25 inakuwaje siamini au wamekosea nini?
Mawazo wakuu hapo ndo sijawaelewa necta kabisaaaaa