Kweli hii ndo necta dah..... Siamini!!!!

Kweli hii ndo necta dah..... Siamini!!!!

Kun Jr

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
700
Reaction score
362
Wakuu jf mi ni mojawapo ya wanafunzi waliofaulu kwenda form v 2013 kabla ya matokeo kufutwa lakin cha kushangaza matokeo yangu hayajabadilika wakati kuna watu walokuwa na iv za 28 na 27 lakini wamepanda hadi 25 na 24 alafu mimi nimebaki palepale 25 inakuwaje siamini au wamekosea nini?
Mawazo wakuu hapo ndo sijawaelewa necta kabisaaaaa
 
Komaa na A level ndugu.huko wakikosea tena tutajua tu tatizo lipo wapi. Usikonde. Kaza moyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kilichofanyika hapa ni kufaulisha walofeli..yaani kupunguza 0. ili nchi itulie..

mkuuhaiwezekani mwanzo nina div 4 ya 27 sasa nini 26 wakati watu wametoka div 4 ya 30 hadi div 3 kweli jamani hii
 
Hiyo inaitwa standardization katika mathematics it is very possible kwamba kuna marks hazijabadilika
 
Wenzio wanafurahia, fanya kinyume chake ungekuwa wewe ndiyo umepata nyingi zaidi ya mwanzo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Daaaaah pole sana.....inauma kiukweli.....kwa kua umepata nafasi we kaza tu itafajamika huko huko necta form 6
 
Inawezekana ulipata maks ambazo n mwanzo wa grade.mfano ulipata 30 hata uongezee 10 upo palepale 2!kazana na advance utatoka.
 
kilichofanyika hapa ni kufaulisha walofeli..yaani kupunguza 0. ili nchi itulie..

sasa ndo had wale walofeli alafu sa hiv wakafaulu hadi wakatupita watuone siye vilaza ndo maana wametupita
 
Komaa na A level ndugu.huko wakikosea tena tutajua tu tatizo lipo wapi. Usikonde. Kaza moyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nakaza moyo mkuu lakini wale walofeli mwanzo alafu sa hivi wakafaulu watanonaje alafu isitoshe mimi peke yangu kati ya tulofaulu mwanzo ndo sijabadilishiwa hata kidogo
 
mkuuhaiwezekani mwanzo nina div 4 ya 27 sasa nini 26 wakati watu wametoka div 4 ya 30 hadi div 3 kweli jamani hii

siunaona bora wangechelewa kuyatoa lakini wayahakiki kwa umakini bwana minecta bhana ahh
 
Wakuu jf mi ni mojawapo ya wanafunzi waliofaulu kwenda form v 2013 kabla ya matokeo kufutwa lakin cha kushangaza matokeo yangu hayajabadilika wakati kuna watu walokuwa na iv za 28 na 27 lakini wamepanda hadi 25 na 24 alafu mimi nimebaki palepale 25 inakuwaje siamini au wamekosea nini?
Mawazo wakuu hapo ndo sijawaelewa necta kabisaaaaa
Inawezekana kuna tatizo kweli lakini kimahesabu mimi naliona linawezekana tu:

Tuchukue mfano kama katika ranking za awali alama D ilikuwa ni kutoka marks 30 mapaka 40 (%). Kama mwanafunzi X alipata alama 29% na wewe ulipata say 34%, katika matokeo ya awali wewe "ulifaulu" kwa kiwango cha "D" na huyo X alifaulu kwa kiwango cha "F" (naamini hakuna "E" kwa olevel).

Na sasa, lets say, alama D imebadilishwa na kuwa marks 21 mpaka 35 (%). Utaona hapa kuwa wewe bado utakuwa na "D" na huyo mwenzako pia atakuwa na "D". Sasa hii ni katika somo moja, lakini scenerio zinaweza kufanana hivyo kwa masomo mengine na viwango vingine na hivyo sio ajabu wewe ukajikuta matokeo yako hayabadiliki na ya wengine yakabadilika sana tu.

Kama mwanzo mwanafunzi X hapo juu alipata alama 29 katika masomo yote, na wewe ulipata alama 34 katika masomo manne na mengine ulipata say 20%, ni wazi kuwa kwa upangaji huu mpya huyo X atafaulu zaidi kuliko wewe maana atakuwa na D katika masomo yote (mwanzoni alikuwa na F zote!) wakati wewe bado umebaki na D zako nne na mengine bado ni F!
 
Wakuu mi nashangaaa kabxaa
 
Back
Top Bottom