Au ni...... ππMbona hawa viumbe wako wengi, unakwama wapi mkuu
Ila kwa sasa inabidi kupunguza unywajiNakushauri myajenge na mmalize tofauti zenu.
In short hapo Mungu kakupa wa kufanana naww.
Wengine hata tukiwa na Energy tu, tunaambiwa tunapenda mno mapombe.
Ndio mkuuBaba,mama,mtoto,wite wanaebdelea vizuri
Hasira mkuuNa yy anampigaje jamaa wakati amelewa
Heshimu maamuzi yakeTatizo yeye anasema tuachane kwa kumdhalilisha mbele za watu, ila nilee ujauzito na mtoto atakapozaliwa
Au ni...... ππ
Anyway hiyo hali ipo tu mkuu some times unaeza ukawa unakataliwa kila unapogusa sijui unaelewaaaa???
Na kama huna moyo wa kubembeleza ndo kabisaaaa
Sasa kama hajui kucontrol hasira zake mbona Equation x atakuwa anapigwa kila sikuππHasira mkuu
Kwa hiyo nipige chini mkuu, nibakie kwenye matumizi, au hii ni namna ya kuzuga na kutaka kujiongezea thamani?Heshimu maamuzi yake
Bali nae kwanza subiri mpaka siku akikuua ndio unamuachaNilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie.
Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi nimuwezeshe ili tu tutoke wote.
Siku ya tukio, tukawa tunakula pamoja na kupiga maji, tulipiga sana na kulewa sana; katika mazungumzo tukajikuta tumekwazana, nikajikuta nimemfinya mkononi.
Bibie akaamua kutoka nje kwa hasira, akakaa huko zaidi ya lisaa; baada ya muda namuona amerudi na mimi niko chakari kweli, baada ya kunifikia, akavua kiatu chake cha mchuchumio na kunianza kunipiga kichwani, damu ilitoka nyingi sana, ilibidi tuamuliwe na kuwahishwa kituo kidogo cha afya.
Bahati nzuri kwa sasa naendelea vizuri ingawa kuna dawa natumia; sasa najiuliza nimpige chini mazima au niendelee naye kiaina, ingawa katika mawasiliano naye anasema yuko tayari tuachane ila akihitaji matumizi na malezi ya zaigoti niwe tayari kugharamia.
Na sababu ya yeye kunifanyia hizo fujo, anasema nilimuabisha mbele za watu, akaamua na yeye asiwe mnyonge.
Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni.
ππππSasa kama hajui kucontrol hasira zake mbona Equation x atakuwa anapigwa kila sikuππ
Wewe fuata tu atakchosema kuepusha mengi zaidiKwa hiyo nipige chini mkuu, nibakie kwenye matumizi, au hii ni namna ya kuzuga na kutaka kujiongezea thamani?
Mungu hapendi hiyo itokeeBali nae kwanza subiri mpaka siku akikuua ndio unamuacha
Utakuja kupigwa π‘π¨ ya head iyoo machungu yakimuisha mkuuNajua wako wengi,,,sina Napo kwama,,,wewe Nenda Kwa hao wengine wengi,, Mimi nitulie na huyo unayefikiria kumpiga chini,,,Mimi ni mfariji wa wenye huzuni sihitaji huyo kiumbe abaki upweke,huzuni na simanzi pia
Pokea simu kwanza untumie nauli.....Njoo unichue chue kichwa kiweze kutulia
Hapana mnapendana subiri kifo kiwatenganisheMungu hapendi hiyo itokee
Mambo ya nauli tena π π nina maumivu ya kichwa sasa hivi, nitumie ata machungwaPokea simu kwanza untumie nauli.....
Matokeo tuu ya MaishaUtakuja kupigwa π‘π¨ ya head iyoo machungu yakimuisha mkuu
We jamaa mbn unakomenti kali sana duuhHapana mnapendana subiri kifo kiwatenganishe
Hili ni la muhimu sanaHeshimu maamuzi yake