Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni

Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni

Mbona hawa viumbe wako wengi, unakwama wapi mkuu
Au ni...... 😂😂
Anyway hiyo hali ipo tu mkuu some times unaeza ukawa unakataliwa kila unapogusa sijui unaelewaaaa???

Na kama huna moyo wa kubembeleza ndo kabisaaaa
 
Nakushauri myajenge na mmalize tofauti zenu.

In short hapo Mungu kakupa wa kufanana naww.

Wengine hata tukiwa na Energy tu, tunaambiwa tunapenda mno mapombe.
Ila kwa sasa inabidi kupunguza unywaji
 
Najua wako wengi,,,sina Napo kwama,,,wewe Nenda Kwa hao wengine wengi,, Mimi nitulie na huyo unayefikiria kumpiga chini,,,Mimi ni mfariji wa wenye huzuni sihitaji huyo kiumbe abaki upweke,huzuni na simanzi pia
 
Au ni...... 😂😂
Anyway hiyo hali ipo tu mkuu some times unaeza ukawa unakataliwa kila unapogusa sijui unaelewaaaa???

Na kama huna moyo wa kubembeleza ndo kabisaaaa
Kubembeleza muhimu, huyu wa kwangu amenizingua lakini bado nambembeleza ili ajione anafaa; nikipata salio nitajifanya kumpelekea bando mbili za bati, muhimu niendelee kuwa pale kati 😀
 
Nilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie.

Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi nimuwezeshe ili tu tutoke wote.

Siku ya tukio, tukawa tunakula pamoja na kupiga maji, tulipiga sana na kulewa sana; katika mazungumzo tukajikuta tumekwazana, nikajikuta nimemfinya mkononi.

Bibie akaamua kutoka nje kwa hasira, akakaa huko zaidi ya lisaa; baada ya muda namuona amerudi na mimi niko chakari kweli, baada ya kunifikia, akavua kiatu chake cha mchuchumio na kunianza kunipiga kichwani, damu ilitoka nyingi sana, ilibidi tuamuliwe na kuwahishwa kituo kidogo cha afya.

Bahati nzuri kwa sasa naendelea vizuri ingawa kuna dawa natumia; sasa najiuliza nimpige chini mazima au niendelee naye kiaina, ingawa katika mawasiliano naye anasema yuko tayari tuachane ila akihitaji matumizi na malezi ya zaigoti niwe tayari kugharamia.

Na sababu ya yeye kunifanyia hizo fujo, anasema nilimuabisha mbele za watu, akaamua na yeye asiwe mnyonge.

Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni.​
Bali nae kwanza subiri mpaka siku akikuua ndio unamuacha
 
Najua wako wengi,,,sina Napo kwama,,,wewe Nenda Kwa hao wengine wengi,, Mimi nitulie na huyo unayefikiria kumpiga chini,,,Mimi ni mfariji wa wenye huzuni sihitaji huyo kiumbe abaki upweke,huzuni na simanzi pia
Utakuja kupigwa 😡🔨 ya head iyoo machungu yakimuisha mkuu
 
Back
Top Bottom