Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #81
Naomba hii isitokeeSiku atakuchinja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba hii isitokeeSiku atakuchinja
Hapo utakua unafeli sasa mkuuHili likipita, hakuna kutoka 'out' tena
Kwa nini umelia mkuu?"Nimelia Sana"
Chai hiii 🍵Nilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie.
Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi nimuwezeshe ili tu tutoke wote.
Siku ya tukio, tukawa tunakula pamoja na kupiga maji, tulipiga sana na kulewa sana; katika mazungumzo tukajikuta tumekwazana, nikajikuta nimemfinya mkononi.
Bibie akaamua kutoka nje kwa hasira, akakaa huko zaidi ya lisaa; baada ya muda namuona amerudi na mimi niko chakari kweli, baada ya kunifikia, akavua kiatu chake cha mchuchumio na kunianza kunipiga kichwani, damu ilitoka nyingi sana, ilibidi tuamuliwe na kuwahishwa kituo kidogo cha afya.
Bahati nzuri kwa sasa naendelea vizuri ingawa kuna dawa natumia; sasa najiuliza nimpige chini mazima au niendelee naye kiaina, ingawa katika mawasiliano naye anasema yuko tayari tuachane ila akihitaji matumizi na malezi ya zaigoti niwe tayari kugharamia.
Na sababu ya yeye kunifanyia hizo fujo, anasema nilimuabisha mbele za watu, akaamua na yeye asiwe mnyonge.
Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni.
Nipo hapa najiuguza mkuuChai hiii 🍵
Unanishauri nifanyeje?Hapo utakua unafeli sasa mkuu
Mmmmh kama ni kweli pole mkuu afu piga chini hiyo 🐷Nipo hapa najiuguza mkuu
Usiachane nae wala usionyeshe tofauti maadam alikwambia tatizo ni niniUnanishauri nifanyeje?
Ana kitumbo mkuuMmmmh kama ni kweli pole mkuu afu piga chini hiyo 🐷
Hiyo 🐷 itampiga tena afu itajisingizia mimbaUsiachane nae wala usionyeshe tofauti maadam alikwambia tatizo ni nini
Mimi ni mpweke Mnoo,,sasa kama ukimpiga chini huyo Bibie nipasie namba zake Kama hutojali lakini ili Tisitiriane Mimi na Yeye naelewa nae atabaki yu mpweke,,,Tafadhali zingatia hilo.Kwa nini umelia mkuu?
Tatizo yeye anasema tuachane kwa kumdhalilisha mbele za watu, ila nilee ujauzito na mtoto atakapozaliwaUsiachane nae wala usionyeshe tofauti maadam alikwambia tatizo ni nini
Duuh, asa atamwachaje akiwa mjamzito?Hiyo 🐷 itampiga tena afu itajisingizia mimba
Unaenda kudaka namba ya singo maza mtarajiwaaaa 😂😂😂Mimi ni mpweke Mnoo,,sasa kama ukimpiga chini huyo Bibie nipasie namba zake Kama hutojali lakini ili Tisitiriane Mimi na Yeye naelewa nae atabaki yu mpweke,,,Tafadhali zingatia hilo.
Mbona hawa viumbe wako wengi, unakwama wapi mkuuMimi ni mpweke Mnoo,,sasa kama ukimpiga chini huyo Bibie nipasie namba zake Kama hutojali lakini ili Tisitiriane Mimi na Yeye naelewa nae atabaki yu mpweke,,,Tafadhali zingatia hilo.
Na yy anampigaje jamaa wakati amelewaDuuh, asa atamwachaje akiwa mjamzito?
Kwa hiyo unanishaurije mkuu?
Unaenda kudaka namba ya singo maza mtarajiwaaaa 😂😂😂