MfanyakaziHewa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 221
- 639
Huyo oa baba, usifikirie Mara mbili......wife material huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni hatari kwa uhai wa binadamuHuyo oa baba, usifikirie Mara mbili......wife material huyo.
Jamaa haonekani kabisa siku hizi, au atakuwa amefichwa na mchepuko?
Napambana na kuuguza majeraha 😀watu wanavyojua sasa kucomment kwenye matukio ya hovyo 😁😁😥
Endelea naye wala usiendeleeNilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie.
Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi nimuwezeshe ili tu tutoke wote.
Siku ya tukio, tukawa tunakula pamoja na kupiga maji, tulipiga sana na kulewa sana; katika mazungumzo tukajikuta tumekwazana, nikajikuta nimemfinya mkononi.
Bibie akaamua kutoka nje kwa hasira, akakaa huko zaidi ya lisaa; baada ya muda namuona amerudi na mimi niko chakari kweli, baada ya kunifikia, akavua kiatu chake cha mchuchumio na kunianza kunipiga kichwani, damu ilitoka nyingi sana, ilibidi tuamuliwe na kuwahishwa kituo kidogo cha afya.
Bahati nzuri kwa sasa naendelea vizuri ingawa kuna dawa natumia; sasa najiuliza nimpige chini mazima au niendelee naye kiaina, ingawa katika mawasiliano naye anasema yuko tayari tuachane ila akihitaji matumizi na malezi ya zaigoti niwe tayari kugharamia.
Na sababu ya yeye kunifanyia hizo fujo, anasema nilimuabisha mbele za watu, akaamua na yeye asiwe mnyonge.
Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni.
Itakuwa mama J kamsweka ndaniJamaa haonekani kabisa siku hizi, au atakuwa amefichwa na mchepuko?