Kweli inaweza kutokea "kwa bahati mbaya"?

Kweli inaweza kutokea "kwa bahati mbaya"?

Utafiti wa hili jambo ndio unaweza kutoa jibu sahihi. Kama ni kweli, basi sio ajabu kichwa kilichokua ''offline'' kikiwa ''on'' kikalaani yaliyotokea na hivyo

kwa upande huo itakua ni KWELI KUNA BAHATI MBAYA HAPO.

na ndo inakuwaga,asubuhi unajiuliza 'hivi ilikuwaje vile?
 
Hamna dhambi yenye maandalizi marefu kama uzinzi. Unaanza kwa kuona, kisha unatongoza, koisha unakataliwa halafu unabembeleza, unaongeza vinywaji na nyama choma nyingi zaidi, maonghezi yananoga, vidole vinapapasa, midomo inakutana, mdudu James anasisimka, unaficha bibi asione. Mnatoka, mnaanza kutafuta gesti. Mnaenda Sinza mnakuta gesti zote zimejaa, mnakimbia, mnafika Ubungo mnakuta kuna foleni kali, mnanza kutafuta short cut, mnaenda Tabata, mnapata chumba, mnapapasana tena, mnanyonyana, mnavua nguo, mnafanyana hadi mnachubuana kama mmejikwangua kwenye makokoto, mnapitiwa na usingizi mzito, mnalala kama mapoepo wachafu.
Asubuhi kumekucha, unaanza kujipapasa, pembeni unaona condoms mpyaaaaa, ukijicheki mdududu James amechubuka na damu zinamtoka.
Haya niambie hiyo bahati mbaya hapo iko wapi?



BjBj ulikua wapi siku zoote hizi?? Source: Babu
 
watu siku hizi wote ni wasanii tu, kashamaliza ndo anaona bahati mbaya, wala jambo hilo hakuna bahati mbaya
 
Back
Top Bottom