TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Kwenye pombe kuna 'bahati' mbaya....
Mbona huwa hamfanyi hapo hapo hadharani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye pombe kuna 'bahati' mbaya....
Bishanga, nimeipenda hiyo!!!
Utafiti wa hili jambo ndio unaweza kutoa jibu sahihi. Kama ni kweli, basi sio ajabu kichwa kilichokua ''offline'' kikiwa ''on'' kikalaani yaliyotokea na hivyo
kwa upande huo itakua ni KWELI KUNA BAHATI MBAYA HAPO.
Hamna dhambi yenye maandalizi marefu kama uzinzi. Unaanza kwa kuona, kisha unatongoza, koisha unakataliwa halafu unabembeleza, unaongeza vinywaji na nyama choma nyingi zaidi, maonghezi yananoga, vidole vinapapasa, midomo inakutana, mdudu James anasisimka, unaficha bibi asione. Mnatoka, mnaanza kutafuta gesti. Mnaenda Sinza mnakuta gesti zote zimejaa, mnakimbia, mnafika Ubungo mnakuta kuna foleni kali, mnanza kutafuta short cut, mnaenda Tabata, mnapata chumba, mnapapasana tena, mnanyonyana, mnavua nguo, mnafanyana hadi mnachubuana kama mmejikwangua kwenye makokoto, mnapitiwa na usingizi mzito, mnalala kama mapoepo wachafu.
Asubuhi kumekucha, unaanza kujipapasa, pembeni unaona condoms mpyaaaaa, ukijicheki mdududu James amechubuka na damu zinamtoka.
Haya niambie hiyo bahati mbaya hapo iko wapi?