Hamna dhambi yenye maandalizi marefu kama uzinzi. Unaanza kwa kuona, kisha unatongoza, koisha unakataliwa halafu unabembeleza, unaongeza vinywaji na nyama choma nyingi zaidi, maonghezi yananoga, vidole vinapapasa, midomo inakutana, mdudu James anasisimka, unaficha bibi asione. Mnatoka, mnaanza kutafuta gesti. Mnaenda Sinza mnakuta gesti zote zimejaa, mnakimbia, mnafika Ubungo mnakuta kuna foleni kali, mnanza kutafuta short cut, mnaenda Tabata, mnapata chumba, mnapapasana tena, mnanyonyana, mnavua nguo, mnafanyana hadi mnachubuana kama mmejikwangua kwenye makokoto, mnapitiwa na usingizi mzito, mnalala kama mapoepo wachafu.
Asubuhi kumekucha, unaanza kujipapasa, pembeni unaona condoms mpyaaaaa, ukijicheki mdududu James amechubuka na damu zinamtoka.
Haya niambie hiyo bahati mbaya hapo iko wapi?