Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Mimi nilikuwa simkubali Marehemu lakini nikiri jamaa alikuwa popular sana Africa baada tu ya kuingia madarakani,amekuja kuharibu mbeleni..Media za Kenya wanacover story nyingi za bongo hadi kwenye muziki tofauti na sisi tunavyofanya..Hatuhitaji kubishana kwenye hili.dogo,, unajua kifo cha huyu mwamba kimeshtua wengi sana. historia imejirudia tena kwa mara ya pili. toka Kinjekitile Ngwale season 1, wengi wetu tulikuwa bado hatujazaliwa. saa hizi tuko season 2.
Kenyans and the whole world at large have a reason to learn How Not To Be Stupid.