Kweli Kenya ni ndugu zetu

Kweli Kenya ni ndugu zetu

dogo,, unajua kifo cha huyu mwamba kimeshtua wengi sana. historia imejirudia tena kwa mara ya pili. toka Kinjekitile Ngwale season 1, wengi wetu tulikuwa bado hatujazaliwa. saa hizi tuko season 2.
Kenyans and the whole world at large have a reason to learn How Not To Be Stupid.
Mimi nilikuwa simkubali Marehemu lakini nikiri jamaa alikuwa popular sana Africa baada tu ya kuingia madarakani,amekuja kuharibu mbeleni..Media za Kenya wanacover story nyingi za bongo hadi kwenye muziki tofauti na sisi tunavyofanya..Hatuhitaji kubishana kwenye hili.
 
Hujielewi
 
Saa zingine kama huna la kukomenti unyamaze kuliko kuandika ujinga.
 
Mimi nilikuwa simkubali Marehemu lakini nikiri jamaa alikuwa popular sana Africa baada tu ya kuingia madarakani,amekuja kuharibu mbeleni..Media za Kenya wanacover story nyingi za bongo hadi kwenye muziki tofauti na sisi tunavyofanya..Hatuhitaji kubishana kwenye hili.
aliingia madarakani kwa mbwembwe na kuanza kupigana na rushwa,,, hapo namuunga mkono. sifa zilimuingia kichwani akawa hajielewi na akageuka kituko cha dunia mpaka hatma yake.

haya ni maoni yako >>>
Media za Kenya wanacover story nyingi za bongo hadi kwenye muziki tofauti na sisi tunavyofanya..Hatuhitaji kubishana kwenye hili.
 
Aaa wapi wakenya si watu kabisa,
Serikali inajitahidi kuonesha ushirikiano, ila mtaani hali sivyo kabisaaa...

Hivi uliona KTN news jinsi walivyokua wakirusha taarifa zao juu ya Hayati????
Mnyonge mnyongeni haki yake apewe ..ktk hili Ktn newz wame enda beyond love ...kuwa live coverage mkuu ujue wame sacrify vipindi vyao na wadhamini wake iyo ni pesa ndugu wame amua kuiweka kando. Ktk hili mie i respect them and i appreciate. Coz hata stations za Ug tu hawakuwa na live coverage

Lkn Ktn newz thumps up
 
Ukiacha unyang'au wao, ni ndugu zetu!
Ndugu yako sio zetu

Bloggers zao walikua wanamuombea Magufuli afe utafikiri wana personal conflicts, kwenye corona walikua wakifake video ili ionekane Tanzania inateketea

Dunia nzima ikiwemo Kenya kulikua na corona lakini waliamua media zao zote kuiandama Tanzania tu na kuitakia mabalaa

Kenya ni takataka na wakenya ni washenzi kuwahi kuishi duniani
 
Mimi nilikuwa simkubali Marehemu lakini nikiri jamaa alikuwa popular sana Africa baada tu ya kuingia madarakani,amekuja kuharibu mbeleni..Media za Kenya wanacover story nyingi za bongo hadi kwenye muziki tofauti na sisi tunavyofanya..Hatuhitaji kubishana kwenye hili.
Magufuli alikuwa maarufu kupita kiasi nasoma sana mainstream media za mbele comments kutoka ulaya, Marekani, Africa kwa upana wake, Asia Latin American plus Caribbean wanamuongelea Magufuli as if ni any popular world leader

Nikawaza kama angekua anahutubia kwa English sijui ingekuaje
 
Mnyonge mnyongeni haki yake apewe ..ktk hili Ktn newz wame enda beyond love ...kuwa live coverage mkuu ujue wame sacrify vipindi vyao na wadhamini wake iyo ni pesa ndugu wame amua kuiweka kando. Ktk hili mie i respect them and i appreciate. Coz hata stations za Ug tu hawakuwa na live coverage

Lkn Ktn newz thumps up
What does it add up to Tanzania? Utopolo tu, who cares kama wanapoteza pesa?

Wanajua wakenya wapo interested na hizo habari na ndio maana wanapresson na at the same time wanaachia commercials, inaonekana hujui lolote kuhusu issues za media
 
Ndugu yako sio zetu

Bloggers zao walikua wanamuombea Magufuli afe utafikiri wana personal conflicts, kwenye corona walikua wakifake video ili ionekane Tanzania inateketea

Dunia nzima ikiwemo Kenya kulikua na corona lakini waliamua media zao zote kuiandama Tanzania tu na kuitakia mabalaa

Kenya ni takataka na wakenya ni washenzi kuwahi kuishi duniani
Ndio maana nikasema wana unyang'au! Ukiacha huo unyang'au wa kujiona ni wazungu, ni waafrica na ni ndugu!
 
Watanzania ni wakarimu na wapole wa mioyo, marafiki wa kweli na ni wamoja katika ubinadamu.

Wengi wanatupenda na kutukubali na SISI HATUTAWAANGUSHA kamwe.
Watanzania 95% ni unafiki
 
What does it add up to Tanzania? Utopolo tu, who cares kama wanapoteza pesa?

Wanajua wakenya wapo interested na hizo habari na ndio maana wanapresson na at the same time wanaachia commercials, inaonekana hujui lolote kuhusu issues za media
Kula ushibe kisha ukalale
 
Back
Top Bottom