Mimi nilikuwa simkubali Marehemu lakini nikiri jamaa alikuwa popular sana Africa baada tu ya kuingia madarakani,amekuja kuharibu mbeleni..Media za Kenya wanacover story nyingi za bongo hadi kwenye muziki tofauti na sisi tunavyofanya..Hatuhitaji kubishana kwenye hili.dogo,, unajua kifo cha huyu mwamba kimeshtua wengi sana. historia imejirudia tena kwa mara ya pili. toka Kinjekitile Ngwale season 1, wengi wetu tulikuwa bado hatujazaliwa. saa hizi tuko season 2.
Kenyans and the whole world at large have a reason to learn How Not To Be Stupid.
Hujielewidogo,, unajua kifo cha huyu mwamba kimeshtua wengi sana. historia imejirudia tena kwa mara ya pili. toka Kinjekitile Ngwale season 1, wengi wetu tulikuwa bado hatujazaliwa. saa hizi tuko season 2.
Kenyans and the whole world at large have a reason to learn How Not To Be Stupid.
Saa zingine kama huna la kukomenti unyamaze kuliko kuandika ujinga.dogo,, unajua kifo cha huyu mwamba kimeshtua wengi sana. historia imejirudia tena kwa mara ya pili. toka Kinjekitile Ngwale season 1, wengi wetu tulikuwa bado hatujazaliwa. saa hizi tuko season 2.
Kenyans and the whole world at large have a reason to learn How Not To Be Stupid.
aliingia madarakani kwa mbwembwe na kuanza kupigana na rushwa,,, hapo namuunga mkono. sifa zilimuingia kichwani akawa hajielewi na akageuka kituko cha dunia mpaka hatma yake.Mimi nilikuwa simkubali Marehemu lakini nikiri jamaa alikuwa popular sana Africa baada tu ya kuingia madarakani,amekuja kuharibu mbeleni..Media za Kenya wanacover story nyingi za bongo hadi kwenye muzikitofauti na sisi tunavyofanya..Hatuhitaji kubishana kwenye hili.
Media za Kenya wanacover story nyingi za bongo hadi kwenye muziki tofauti na sisi tunavyofanya..Hatuhitaji kubishana kwenye hili.
mimi au wewe?Hujielewi
sawa mamaSaa zingine kama huna la kukomenti unyamaze kuliko kuandika ujinga.
Hujielewi aiseeesawa mama
jibu hoja basi. wacha kuniwaza sanaHujielewi aiseee
Mnyonge mnyongeni haki yake apewe ..ktk hili Ktn newz wame enda beyond love ...kuwa live coverage mkuu ujue wame sacrify vipindi vyao na wadhamini wake iyo ni pesa ndugu wame amua kuiweka kando. Ktk hili mie i respect them and i appreciate. Coz hata stations za Ug tu hawakuwa na live coverageAaa wapi wakenya si watu kabisa,
Serikali inajitahidi kuonesha ushirikiano, ila mtaani hali sivyo kabisaaa...
Hivi uliona KTN news jinsi walivyokua wakirusha taarifa zao juu ya Hayati????
Ndugu yako sio zetuUkiacha unyang'au wao, ni ndugu zetu!
Kama nyang'au ni ndugu zetu, hata sisi basi ni nyang'auUkiacha unyang'au wao, ni ndugu zetu!
Magufuli alikuwa maarufu kupita kiasi nasoma sana mainstream media za mbele comments kutoka ulaya, Marekani, Africa kwa upana wake, Asia Latin American plus Caribbean wanamuongelea Magufuli as if ni any popular world leaderMimi nilikuwa simkubali Marehemu lakini nikiri jamaa alikuwa popular sana Africa baada tu ya kuingia madarakani,amekuja kuharibu mbeleni..Media za Kenya wanacover story nyingi za bongo hadi kwenye muziki tofauti na sisi tunavyofanya..Hatuhitaji kubishana kwenye hili.
What does it add up to Tanzania? Utopolo tu, who cares kama wanapoteza pesa?Mnyonge mnyongeni haki yake apewe ..ktk hili Ktn newz wame enda beyond love ...kuwa live coverage mkuu ujue wame sacrify vipindi vyao na wadhamini wake iyo ni pesa ndugu wame amua kuiweka kando. Ktk hili mie i respect them and i appreciate. Coz hata stations za Ug tu hawakuwa na live coverage
Lkn Ktn newz thumps up
Hapana, siyo nyang'au, ni unyang'au ndio wanao!Kama nyang'au ni ndugu zetu, hata sisi basi ni nyang'au
Ndio maana nikasema wana unyang'au! Ukiacha huo unyang'au wa kujiona ni wazungu, ni waafrica na ni ndugu!Ndugu yako sio zetu
Bloggers zao walikua wanamuombea Magufuli afe utafikiri wana personal conflicts, kwenye corona walikua wakifake video ili ionekane Tanzania inateketea
Dunia nzima ikiwemo Kenya kulikua na corona lakini waliamua media zao zote kuiandama Tanzania tu na kuitakia mabalaa
Kenya ni takataka na wakenya ni washenzi kuwahi kuishi duniani
Watanzania 95% ni unafikiWatanzania ni wakarimu na wapole wa mioyo, marafiki wa kweli na ni wamoja katika ubinadamu.
Wengi wanatupenda na kutukubali na SISI HATUTAWAANGUSHA kamwe.
Kwani kuna shida wapi hapo!! Jina la Rais wa sasa ni Samia 'Suluhu' na anachukua mikoba ya John 'Pombe' MagufuliHawa ndio ndugu?!
Kula ushibe kisha ukalaleWhat does it add up to Tanzania? Utopolo tu, who cares kama wanapoteza pesa?
Wanajua wakenya wapo interested na hizo habari na ndio maana wanapresson na at the same time wanaachia commercials, inaonekana hujui lolote kuhusu issues za media