Kweli Kenya ni ndugu zetu

Kweli Kenya ni ndugu zetu

Hakuna taifa ambalo ni monolithic. Kila taifa lina watu anuai. Kuna Wakenya ambao wameguswa, kuna ambao wamefurahia na kuna wengine hawajui au hawajali kinachoendelea Bongo yetu.

Cha msingi mwakilishi wa Kenya, yaani serikali ya Uhuru Kenyatta imeonesha uungwana sana kwetu. Kwa hilo tunawashukuru.

Ahsanteni kwa kulia nasi. Kwa wale mliofurahi, Bwana awarehemu. Kwa wale msiojali, endeleeni tu na mambo yenu.

Mungu ibariki Tanzania na Viongozi wetu.
Tanzania ipate kibali machoni pako!
 
Attachments

  • FB_IMG_1616212021557.jpg
    FB_IMG_1616212021557.jpg
    43.5 KB · Views: 2
Hawa ndio ndugu?!
Sasa a media sensational headline itakua fikra ya wakenya wote? Mnaitaji ukombozi wa kiaina[emoji23]., Mko na uwezo duni sana wa ki fikra. Propaganda ni mbaya kweli., Mtu anakimbia na hakuna ambaye anamfukuza, ni fikra zake zinamdanganya. Kwani watanzania wote mko na paranoia schizophrenia?
 
Nimefurahishwa na kushangangazwa sana na uelewevu wa watazanzia kwa geopolitics katika kanda letu.Ninaona ni kama watanzania mnaelewa sana mambo ya Kenya ukilinganisha na vile sisi tunawaelewa...sababu yake inaweza kuwa gani?
 
Nawewe nawe chizi tu sasa umesema mawazo ya media moja sio mawazo ya wa ke wote iweje mawazo ya mtu mmoja utake wote tupate ukombozi wa ki fikra? Sema huyo jamaa ndio anahitaji ukombozi wa ki fikra
 
Sasa a media sensational headline itakua fikra ya wakenya wote? Mnaitaji ukombozi wa kiaina[emoji23]., Mko na uwezo duni sana wa ki fikra. Propaganda ni mbaya kweli., Mtu anakimbia na hakuna ambaye anamfukuza, ni fikra zake zinamdanganya. Kwani watanzania wote mko na paranoia schizophrenia?
Yaani umepatia kumkosoa kuwa maoni ya gazeti hayawezi kuwa ni ya Wakenya wote, kisha ukaenda hatua moja nyuma na kufanya kosa lilelile ulilolikosoa kwamba Watanzania wote ni paranoia na schizophrenic.

Are you dumb in any other area?
 
Nimefurahishwa na kushangangazwa sana na uelewevu wa watazanzia kwa geopolitics katika kanda letu.Ninaona ni kama watanzania mnaelewa sana mambo ya Kenya ukilinganisha na vile sisi tunawaelewa...sababu yake inaweza kuwa gani?
Hakuna kitu kama hicho..Hakuna Watanzania wanaofuatila yanayoendelea Kenya kwa wingi..ni wachache tu humu JF.

Lakini media za Kenya zinawalisha Wakenya mambo mengi yanayoendelea tz na sijui ni kwa nini?..
 
dogo,, unajua kifo cha huyu mwamba kimeshtua wengi sana. historia imejirudia tena kwa mara ya pili. toka Kinjekitile Ngwale season 1, wengi wetu tulikuwa bado hatujazaliwa. saa hizi tuko season 2.
Kenyans and the whole world at large have a reason to learn How Not To Be Stupid.
 
😭😭😭
Hili ni pigo kubwa sana kwa Pan Afrikans wote.
 
Wakenya wengi wameguswa na hata jana TV zote na ile ya uganda UBC zilikuwa live kuonyesha tukio la kuapishwa kwa rais. UBC walikuwa na uchambuzi mzuri sana sana kuhusu siasa za Tanzania. Ni ndugu zetu hawa. kama ndugu tumbo moja hawaelewani asilimia 100 itakuwa majirani? Hivyo tujue hawa Wakenya waliwahi tunusuru na mamluki kutoka Libya wakati wa vita ya TZ na Idd Amini.
 
Back
Top Bottom