Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamaanisha nini huyo?Mtu kama hii lugha haipandi bora kukaa tu kimya.Watu wanahangaika na wenyewe waonekana vidato vimepanda matokeo yake ni kujiaibisha!!Yaani hapa ni full "kuvunja kamusi ya kimombo"View attachment 394227
hahaaaaa.nmecheka sanaKunakitu nyuma ya pazia,pengine unajua chanzo cha huzuni yake ya awali
Sijui kingereza ila huyo anaweza kuwa mwanafunzi wangu
Kusudi gani tena jamani?una kusudi wewe
Kusudi gani tena jamani?
Hebu njoo chemba uninong'onezeunaijua sana
Naomba nijumuishwe kwenye hilo darasa mkuuSijui kingereza ila huyo anaweza kuwa mwanafunzi wangu
Una hela ya kunilipa?Naomba nijumuishwe kwenye hilo darasa mkuu