Mkuu naona tunauelewa na mtazamo tofauti kuhusu kilichotokea uchaguzi huu, endeleza ligi na hao wenzako. Halafu mimi ni kada mkongwe wa CCM, usifikiri kila anayeona uchaguzi haukuwa sawa ni mpinzani. Fungua ubongo wako ufikiri nje ya box ulilofungiwaWache aibu iwe aibu tu..nimewapenda watanzania kwa maamuzi waliyochukua ya kuwachinja.. rudini mkajipange.hakuna mwarobaini mwingine..jomba..hayo Ni maamuzi yao msiwachukulie poa watanzania..Wana akili kuliko mnavyodhani..au unadhani hawaoni yanayofanywa na serikali
Nadhani siwezi jenga hoja na wewe, ukikua utaelewa vizuriNi madudu yapi yamefanywa unaweza kuelezea zaidi..mbona mnatuacha hewani bila details..muulizeni Jusa amewaza Nini...kwa sababu anajua kabisa wananchi waliamua nanhakuna wa kuwageuza
It is Lissu against wananchi wazalendo...Sasa sijui hapo Nani atakuwa mshindi. Hakuna Cha wafilisti Wala mabeberu..Mungu ameshaibariki Tanzania zamani.tatizo la .Corona ni sura mojawapo ya uwepo wa Mungu Tanzania..Nani zaidi ya Mungu. Mungu ndio ameusimika utawala wa JPM..nenda kokote mpaka jehanam Kama utamshinda...msiwachukulie poa watanzania mkadhani Ni wajinga..endeleeni kupiga kelele wenzenu wapo uchumi wa kati wanendeea kupeta tu..
Hahaha kaiba kura wapi...kwa hiyo kaiba na mawakala wenu wameshirikiana...leteni mahesabu ya mawakala wenu tuone..msidhani watanzania wajinga...mnaweweseka tu shwainnn.Magufuli kaiba kura, za kupigiwa hazikuwa kiasi hicho, magufuli na wabunge wa ccm wameiba kura.
Ngoja lita ya petroli ifike elf10 uone km haturamchomoa mzee kipara wako apo chamwino
Saivi zama zimebadirika sana, tena wazungumu wakileta mchezo na Afrika CHINA atawaacha mbali sana kiuchumiZimbabwe, syria, sudan, somalia ... walishindwa nini kwenda na india, china na russia?? Nakuona poyoyo umetoka tena front na kamasi zako mdomoni
Sasa Kama wewe mwenyewe huujui huo mchezo Magufuli ataujuaje...mnaweweseka mnatia huruma...Lissu ameshawakimbia mmebaki mmebung'aa tu..hamjui mfanye Nini.Magufuli mwenyewe anajua mchezo wa kuiba kura alioufanya ivyo unaongea pumba tu.
Wananchi wazalendo tunamuunga mkono lissu,
.. ata saadam husein alikuwa kama dikteta majisifu magufuli nchi ya iraq ilipasuka kwa shangwe pale alipopinduliwa, wait time will tell
Hao ulio wataja wote wanamtegemea Marekani akiwapiga ban kuuza vitu vyao lazima wapige gotiYaani wazungu watuwekee vikwazo mwaka 2020 duu, kweli alili ni mali, kwamba wao peke yao ndo wanaendesha dunia au? Tena wakijadai kuweka vikwazo tunaenda na nchi za Asia, CHINA, INDIA, n.k
Uwe kada wa CCM au usiwe Mimi nakugonga nyundo tu.afterall proof iko wapi kama wewe Ni kada...hata Mimi ni kada wa chadema kindakindaki lakini nasema ukweli daima...msiwachukulie poa watanzania...tangu kuanzishwa vyama vingi hamjaweza kuwashawishi watanzania wawape kura nyingi...Mkuu naona tunauelewa na mtazamo tofauti kuhusu kilichotokea uchaguzi huu, endeleza ligi na hao wenzako. Halafu mimi ni kada mkongwe wa CCM, usifikiri kila anayeona uchaguzi haukuwa sawa ni mpinzani. Fungua ubongo wako ufikiri nje ya box ulilofungiwa
Nadhani siwezi jenga hoja na wewe, ukikua utaelewa vizuri
Kura za Magu na wabunge zilikuwa ngapi mama...Kama huna majibu uliza kwa mawakala wenu wanawaambia..au nao wamewaibia..kazi mnayo sijui mtachomokea wapi..mi nadhani jipangeni kwa 2030...Tena..Magufuli kaiba kura, za kupigiwa hazikuwa kiasi hicho, magufuli na wabunge wa ccm wameiba kura.
Ngoja lita ya petroli ifike elf10 uone km haturamchomoa mzee kipara wako apo chamwino
Nendeni mkawalalamikie nankuwalilia wananchi waliopiga kura..msidhani wananchi hawayaoni yaliyofanywa na Magufuli...na nasema msiwachukulie poa wananchi hata kidogo Wala kuwadharau na maamuzi yao...kwa maana hamtakaa muwashawishi tena milele..humu hamna majibu mnayoyatakaMalipo ni hapa hapa haiwezekani mtu uengue wabunge zaidi ya 40 kwa dhuluma halafu dunia ikuache tu ni bora tuumie ili watu wajue umuhimu wa kudai haki zao
Nendeni mkawalalamikie wananchi waliowachinjilia mbali kule...Ni maamuzi yao...humu jamvini hakuna majibuIn Every action there is equal and opposite reaction
Mumelawiti uchaguzi
sawaaaa...
Chezen ngoma sasa....
NEC wakati wanafanya hivi hawakufikilia Kabisaa kama kuna 2 trillion
now ni kuhaha tu kila siku
Uwe kada wa CCM au usiwe Mimi nakugonga nyundo tu.afterall proof iko wapi kama wewe Ni kada...hata Mimi ni kada wa chadema kindakindaki lakini nasema ukweli daima...msiwachukulie poa watanzania...tangu kuanzishwa vyama vingi hamjaweza kuwashawishi watanzania wawape kura nyingi...wamekuwa wakiwapa CCM siku zote...hamjaonyesha dhamira ya ukweli ya Nini mnataka kuwafanyia watanzania zaidi ya anayofanya Magufuli..sanasana mnataka cheo tu na ulaji..msubirini Seif muone..umewasikia kina Jusa..hahahah nyinyi manyumbu hata hamjielewi..wenzenu wanapambania ili mkate uende kinywani nyie Ni Kama chambo tu...na wengine ndio hao wameshafanya waacha solemba wameenda kwa mabwana zao...SI watetezi wa mashoga...naona labda mnashirikiana pia
Babeli mji Mkuu kitivo cha maovu mpaka leo anguko lako li karibuNendeni mkawalalamikie wananchi waliowachinjilia mbali kule...Ni maamuzi yao...humu jamvini hakuna majibu
Watanzania walio wengi hatuna maisha magumu ndio maana hata ukiitisha maandamano yanabuma ndio maana wito wowote wa vurugu na fujo toka upinzani haupati supportWanyonge mkilala njaaa, vitu bei ikaongezeka, maisha yakawa magumu lazima mtatumia nguvu ya umma kufanya mabadiliko sababu mmeelimishwa mapema kuanzia mange kimambi mpaka sasa mnajifanya vichwa ngumu. Sasa hivi haitakuwa vyuma kubana. Tani vyuma vitaumana kudadek.