Kweli Magufuli anataka kuifufua ATCL, ila hii "kachumbari ya ndege" anazonunua inatia mashaka

Barafu mtaalam wa Mambo ya anga, uchumi na siasa afi haya yote uliyaona na kutoa ushauri. Wapuuzi walizina maskio. Sasa wameyaona.
 
Barafu mtaalam wa Mambo ya anga, uchumi na siasa afi haya yote uliyaona na kutoa ushauri. Wapuuzi walizina maskio. Sasa wameyaona.
Waliambiwa waanze na ndege ndogo kama bombadia,ziruke ndani na baadae katika nchi jirani.Kuna na mseto wa ndege kama dreamliner na hauruki long safari,ni kujichimbia kaburi.Haikusikilizwa!Tunawaombea heri wazidi kufanikiwa
 
Achana naye huyo,wewe ulitoa ushauri wa kitaalam.
Mimi nina swali hizo ndege haziwezi kubadilishwa zikawa za mizigo? ili zibebe maua,mboga mboga,samaki na maparachichi zipeleke Ulaya.
Hizi mapanga shaa hazitaweza kufika lilipo soko, sio ETOPS.. Zile C300 kuzigeuza to cargo siioni kama itakuwa sawa kiuchumi.. Ila dubwana Dreamliner naona likiuzwa or rented to others tunaweza ku acquire B737 mbili tatu hivi tukaziconvert pale XL ( they turn passenger aircrafts to cargo) tukafanya usafirishaji wa bidhaa zetu za shamba
 
Sasa tunaweza kujadiliana tena mkuu?
Mkuu barafu najua wote tuna taarifa kuwa shirika limepata hasara tena kwa miaka mi5 mfululizo ila mimi nadhani hasara za shirika zimesababishwa na
1. Tumenunua ndege nyingi bila sababu za msingi
2. Route zisizo na faida, leo nimepata taarifa ndege imeenda pemba na abiria wawili tu, na aliyenipa taarifa ni muhudumu kwahiyo hawezi nidanganya
 
Duh..., umemponza mhudumu wa watu!. Jifunze kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source", kitendo cha kujuana na mhudumu wa ndege ni something big, hukupaswa kumtaja na siku zijazo hata kumegea tena info, ila vile vingine utaendelea...
P
 
We nae ebu tuambie kilichokufanya ujiunge praise team na ueweledi wako wote
 
Duh..., umemponza mhudumu wa watu!. Jifunze kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source", kitendo cha kujuana na mhudumu wa ndege ni something big, hukupaswa kumtaja na siku zijazo hata kumegea tena info, ila vile vingine utaendelea...
P
Mkuu nimekuelewa ila serikali ya mama inataka uwazi, natumai hawatamfanya kitu,
 
Unaharibu hapa na unaweza kumuharibia mtu kazi.Jifunze kutunza siri,mwanaume ni kifua
 
Shida yake ilikuwa ni Know All Do All, ushauri haukusikilizwa, nchi haiendi hivyo
 
Duh..., umemponza mhudumu wa watu!. Jifunze kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source
Wacha ushenzi wako wewe mnafiki mkubwa... Naona bado unaishi zile zama diktekta uchwara aliyefukiwa juzi...Eti umemponza,.... Unafikiri izi ni zile zama za kisema ukweli na kuitwa msaliti au umetumwa na mabebebru... pole yako... Manfiki wa kiwango cha SGR... NAona MATAGA bado mpo kwenye denial
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…