Nasahihisha mkuuKweli maisha ni kama kamari toka Zali la mentali hadi kuwa Mbunge wa CHADEMA
View attachment 428871
Bravo to you: PROFESSA JAY
Kweli mkuu, mimi mwezi ujao naanza dietSema siku hizi ana kitambi na minyama uzembe. Niliona kuna picha yuko na jamaa wanafanya jogging, ile haisaidii bila kubadilisha diet. Kama unakula bila mpangilio kwa vile chakula kinapatika, hata ufanye mazoezi vipi ni kazi bure huwezi kutengeneza shape na matokeo yake unaweza kuacha kwa kuvunjika moyo.
Ushauri: Ukitaka kupunguza uzito anza na diet sasa. Badilisha mfumo wako wa kula kuanzia hapo hapo ulipo na saa hiyo hiyo, usisubiri mpaka next week. Then mazoezi yanafuata.
Hicho nikipande kwenye wimbo wa 'Zari la Mentali"photoshopu
Sio mbunge wa Chadema ni mbunge wa mikumi bwege wwKweli maisha ni kama kamari toka Zali la mentali hadi kuwa Mbunge wa CHADEMA
View attachment 428871
Bravo to you: PROFESSA JAY
Bashite hana hata cheti cha chekechea unamwita mheshiwa unashanga kwa profesa j unashikiwa Akili?hakika kabisa leo tunamuita Mheshimiwa