Kweli maisha ni kama zali la mentali, sikutegemea kama angekuja kuwa mbunge wa CHADEMA

Kweli maisha ni kama zali la mentali, sikutegemea kama angekuja kuwa mbunge wa CHADEMA

Sema siku hizi ana kitambi na minyama uzembe. Niliona kuna picha yuko na jamaa wanafanya jogging, ile haisaidii bila kubadilisha diet. Kama unakula bila mpangilio kwa vile chakula kinapatika, hata ufanye mazoezi vipi ni kazi bure huwezi kutengeneza shape na matokeo yake unaweza kuacha kwa kuvunjika moyo.

Ushauri: Ukitaka kupunguza uzito anza na diet sasa. Badilisha mfumo wako wa kula kuanzia hapo hapo ulipo na saa hiyo hiyo, usisubiri mpaka next week. Then mazoezi yanafuata.
Kweli mkuu, mimi mwezi ujao naanza diet
 
Huyo ni Mbunge wa jimbo la mikumi sio Mbunge wa chadema,hakuna jimbo linaitwa chadema
 
Back
Top Bottom