Kweli mapenzi ni mental disease

Kweli mapenzi ni mental disease

Mapenz sio mchezo,.m nlitamani kumchomea ndani mtu..ila nikawaza familia inanitegemea ...ikabid mafuta niyaweke kwenye pikpik yangu tu...
 
Kipindi nasoma shule, nilipata kumsoma jamaa anaitwa Plato. Sikumbuki mengi sana kumhusu, ila nakumbuka kauli yake "Love is serious mental disease" na hii nimeishuhudia mara mbili kama ifuatavyo:
* Hapo nyuma, nilitumwa na wazazi wangu niende kumlinda (spying/stalking) sister yangu ambae alikuwa anapitia kipindi kigumu sana.
Alikuwa ameachwa na mchumba wake ambaye alikwishamleta mpaka home. Maisha yalikuwa magumu sana. She had everything: house, car, good job but all sounded nothing.
Nilikuwa napika hali, anakaa chumbani amejifungia, aliacha hadi kuoga na kubadili nguo. Nilipoona nazidiwa nikapiga simu nyumbani akaja mtu mwingine (sister) kumcheki.
Baada ya hapo nilienda kujiunga na shule. Nilikaa huko mwaka bila kumuona nilipomuona alikuwa ameshakuwa sawa. Lakini hataki kusikia neno mapenzi.

* Niliporudi shule ndo safari yangu ikaanza. Nilishadate na wadada kadhaa hapo nyuma lakini nilikuja kugundua wote hao nilikuwa nacheza. Hii ni baada ya kukutana na huyu shemeji yenu aliyenifanya niandike uzi huu.
Nilimpenda sana tu mara ya kwanza kumuona. Kwakuwa alikuwa ni mgeni niliforce urafiki naye kwanza. Sikuchelewa nikatema swaga. Sikuamini kama ningetoboa. Lakini nilifanikiwa.
Muda ulivyozidi kwenda nilizidi kumpenda sana.
Tulipotezana miaka mitatu, nikaja kukutana nae tena. Lakini hiyo miaka yote nilishindwa kupata mahusiano ya kudumu. Kila mrembo niliyedate nilikuwa namchukia na kudhani namsaliti mpenzi wangu ambaye sijui yuko wapi.

Mpaka sasa napitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu. Nimekuja kugundua huyu mrembo wangu hanizingatii tena kama zamani. Nilidhani kwa kuwa tumepotezana miaka yote hiyo basi atakuwa amenimiss sana. Lakini mwenzenu sipendwi tena. Nimejaribu kila njia arudi kwenye line lakini nimekata tamaa.
Nashindwa kula, stress kibao tu. Imefika hatua nachukia kila mtu, napenda mziki ila sioni hata nyimbo za kusikiliza. Juzi nilianguka sababu ya kizunguzungu.
Lengo langu nataka nimsahau, tafadhari aliyewahi kupitia feelings kama hizi aliwezaje? Ni njia gani sahihi kumsahau mtu. Hata nikisema nifute picha na namba yake kazi bure kichwani taswira yake naiona. Mbaya sana hapa ninapokaa kuna jirani yangu anaitwa jina kama lake yani natamani kuhama.
Asanteni.
😀😀😀😀
 
Kubali kwanza unampenda huyo mtu.
Then kubali kua, yuko na mtu mwingine, Yes, Hakuzingatii kwa sababu kwa kipindi hicho cha miaka 3 alishajichanganya pengine.

Ukishakubaliana na facts zote hizo juu, go look for another chick, Soon tu utakua normal
 
Hii kitu kwa upande wangu ipo ila ina sense tofauti kidogo sasa mi sio kwamba na teseka isipokuwa ti mi huwa ananijia kwenye njoze mdada mmoja hv wakuitwa RACHEL MMARY huyu hatukuwah kuw na serious relationship huwez amini ni about miaka 9 sasa tumepotezana ila ndio dem ninae muota mara nyingi zaid ya kwa mwez kumuota mpak mara 5 ni kawaida shida namuota akiw na muonekano ule ele wa kitambo tupo karibu though nlikuja kuckia juu juu kua ameolewa na ana mtoto but still huwa ankuja na nkimuota lazma awe na mashoga zake wawili SHAKILA NA ANGEL nshawah jiuliza sana why yy tu akati nshapita na madem ata fuso kumi na cwakumbuki kbs wngn yani ila huwa siumii ah ah nipo normal tu na huwa nachukulia n ndoto ti always.
 
Duh
 
Kubali kwanza unampenda huyo mtu.
Then kubali kua, yuko na mtu mwingine, Yes, Hakuzingatii kwa sababu kwa kipindi hicho cha miaka 3 alishajichanganya pengine.

Ukishakubaliana na facts zote hizo juu, go look for another chick, Soon tu utakua normal
Thanks
 
Pamoja na usumbufu wa mapenzi duniani nadhani ukoo wenu na nyie mnaendekeza sana mapenzi. Mnayapa airtime sana mapenzi. Angalia dada yako now wewe!
 
Lengo langu nataka nimsahau, tafadhari aliyewahi kupitia feelings kama hizi aliwezaje? Ni njia gani sahihi kumsahau mtu. Hata nikisema nifute picha na namba yake kazi bure kichwani taswira yake naiona. Mbaya sana hapa ninapokaa kuna jirani yangu anaitwa jina kama lake yani natamani kuhama.
Ingia Google andika neno hili "vagabond" soma maana yake kisha anza kuishi hio lifestyle I'm telling you ndani ya muda mfupi utasahau kila kitu

Ili unielewe unatakiwa uende extra miles huwezi kunielewa km unatumia akili za kawaida
 
Tangu nianze kuchovya. Sijawahi kupenda. Na hadi leo hata wife anajua simpendi mwanamke yeyote. Ninachokifanya ni heshima tu kwake na akizingua kidogo atatembea kwao.

Ninawashangaa wanaopata kichaa hadi kujunyonga eti kisa mapenzi. Sijui wanawazaje.

Na mwanaume unakuwaje teja kwa mwanamke hadi unavurugwa? Anakulea au? Yeye ni nani kwako hadi uvurugwe na penzi lake? Nitavurugwa kwa kukosa mapenzi ya baba na mama basi. Vingine labda pesa tu.
Mpo 20s au 30s?
N
 
kula kitu mkuu kina tabia ya kuchukulia mambo poa na kupuuzaa mambo
 
Tangu nianze kuchovya. Sijawahi kupenda. Na hadi leo hata wife anajua simpendi mwanamke yeyote. Ninachokifanya ni heshima tu kwake na akizingua kidogo atatembea kwao.

Ninawashangaa wanaopata kichaa hadi kujunyonga eti kisa mapenzi. Sijui wanawazaje.

Na mwanaume unakuwaje teja kwa mwanamke hadi unavurugwa? Anakulea au? Yeye ni nani kwako hadi uvurugwe na penzi lake? Nitavurugwa kwa kukosa mapenzi ya baba na mama basi. Vingine labda pesa tu.

N
sio kwamba ulipigwa tukio mkuu ndiyo ikakufanya uwe ivyo?😂😂
 
Hakuna namna yeyote unayo weza kujinasua hapo nihadi ubadili
MTAZAMO👈fikra zako kuhusu mapenzi.
mtu mlie kutana duniani bila tarajio lolote leo hii uliweka tumaini lako la furaha kwauhakika ukidhani yeye atabeba jukumu hilo kwanamna unavyo dhani wewe!
hayupo mtu alie kuja beba sehemu ya vitu vyawatu hapa dunia.
furaha ya uhakika inaanzia ndani mwako kisha unaipamba kutokea
nj'e na wewe.
 
Back
Top Bottom