COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Nikufundishe tiba mkuu! Tafuta ant stress tea. Ndo kiboko utamsahau baada ya muda mfupi mnoooooNatamani ningekuwa kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikufundishe tiba mkuu! Tafuta ant stress tea. Ndo kiboko utamsahau baada ya muda mfupi mnoooooNatamani ningekuwa kama wewe
Utakuwa mnyalukolo weweeee( just joking)Tunauza kamba za kujinyongea , hazichubui ...Tuko Gongo la Mboto.
😀😀😀😀Kipindi nasoma shule, nilipata kumsoma jamaa anaitwa Plato. Sikumbuki mengi sana kumhusu, ila nakumbuka kauli yake "Love is serious mental disease" na hii nimeishuhudia mara mbili kama ifuatavyo:
* Hapo nyuma, nilitumwa na wazazi wangu niende kumlinda (spying/stalking) sister yangu ambae alikuwa anapitia kipindi kigumu sana.
Alikuwa ameachwa na mchumba wake ambaye alikwishamleta mpaka home. Maisha yalikuwa magumu sana. She had everything: house, car, good job but all sounded nothing.
Nilikuwa napika hali, anakaa chumbani amejifungia, aliacha hadi kuoga na kubadili nguo. Nilipoona nazidiwa nikapiga simu nyumbani akaja mtu mwingine (sister) kumcheki.
Baada ya hapo nilienda kujiunga na shule. Nilikaa huko mwaka bila kumuona nilipomuona alikuwa ameshakuwa sawa. Lakini hataki kusikia neno mapenzi.
* Niliporudi shule ndo safari yangu ikaanza. Nilishadate na wadada kadhaa hapo nyuma lakini nilikuja kugundua wote hao nilikuwa nacheza. Hii ni baada ya kukutana na huyu shemeji yenu aliyenifanya niandike uzi huu.
Nilimpenda sana tu mara ya kwanza kumuona. Kwakuwa alikuwa ni mgeni niliforce urafiki naye kwanza. Sikuchelewa nikatema swaga. Sikuamini kama ningetoboa. Lakini nilifanikiwa.
Muda ulivyozidi kwenda nilizidi kumpenda sana.
Tulipotezana miaka mitatu, nikaja kukutana nae tena. Lakini hiyo miaka yote nilishindwa kupata mahusiano ya kudumu. Kila mrembo niliyedate nilikuwa namchukia na kudhani namsaliti mpenzi wangu ambaye sijui yuko wapi.
Mpaka sasa napitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu. Nimekuja kugundua huyu mrembo wangu hanizingatii tena kama zamani. Nilidhani kwa kuwa tumepotezana miaka yote hiyo basi atakuwa amenimiss sana. Lakini mwenzenu sipendwi tena. Nimejaribu kila njia arudi kwenye line lakini nimekata tamaa.
Nashindwa kula, stress kibao tu. Imefika hatua nachukia kila mtu, napenda mziki ila sioni hata nyimbo za kusikiliza. Juzi nilianguka sababu ya kizunguzungu.
Lengo langu nataka nimsahau, tafadhari aliyewahi kupitia feelings kama hizi aliwezaje? Ni njia gani sahihi kumsahau mtu. Hata nikisema nifute picha na namba yake kazi bure kichwani taswira yake naiona. Mbaya sana hapa ninapokaa kuna jirani yangu anaitwa jina kama lake yani natamani kuhama.
Asanteni.
DuhHii kitu kwa upande wangu ipo ila ina sense tofauti kidogo sasa mi sio kwamba na teseka isipokuwa ti mi huwa ananijia kwenye njoze mdada mmoja hv wakuitwa RACHEL MMARY huyu hatukuwah kuw na serious relationship huwez amini ni about miaka 9 sasa tumepotezana ila ndio dem ninae muota mara nyingi zaid ya kwa mwez kumuota mpak mara 5 ni kawaida shida namuota akiw na muonekano ule ele wa kitambo tupo karibu though nlikuja kuckia juu juu kua ameolewa na ana mtoto but still huwa ankuja na nkimuota lazma awe na mashoga zake wawili SHAKILA NA ANGEL nshawah jiuliza sana why yy tu akati nshapita na madem ata fuso kumi na cwakumbuki kbs wngn yani ila huwa siumii ah ah nipo normal tu na huwa nachukulia n ndoto ti always.
ThanksKubali kwanza unampenda huyo mtu.
Then kubali kua, yuko na mtu mwingine, Yes, Hakuzingatii kwa sababu kwa kipindi hicho cha miaka 3 alishajichanganya pengine.
Ukishakubaliana na facts zote hizo juu, go look for another chick, Soon tu utakua normal
Noma ndugu yang
Ni chai ya kuondoa stress yaani inakusahaulisha mambo yooote mabaya halafu inakufanya uwe na furaha muda woteHiyo ndo nini mkuu, tusaidiane
Mkuu tafuta hiyo chaiNope! Kanda ya ziwa
Hahaha ulipatwa mkuu. Pole na hongera kwa kudhibiti hasiraMapenz sio mchezo,.m nlitamani kumchomea ndani mtu..ila nikawaza familia inanitegemea ...ikabid mafuta niyaweke kwenye pikpik yangu tu...
Ingia Google andika neno hili "vagabond" soma maana yake kisha anza kuishi hio lifestyle I'm telling you ndani ya muda mfupi utasahau kila kituLengo langu nataka nimsahau, tafadhari aliyewahi kupitia feelings kama hizi aliwezaje? Ni njia gani sahihi kumsahau mtu. Hata nikisema nifute picha na namba yake kazi bure kichwani taswira yake naiona. Mbaya sana hapa ninapokaa kuna jirani yangu anaitwa jina kama lake yani natamani kuhama.
NMpo 20s au 30s?
sio kwamba ulipigwa tukio mkuu ndiyo ikakufanya uwe ivyo?😂😂Tangu nianze kuchovya. Sijawahi kupenda. Na hadi leo hata wife anajua simpendi mwanamke yeyote. Ninachokifanya ni heshima tu kwake na akizingua kidogo atatembea kwao.
Ninawashangaa wanaopata kichaa hadi kujunyonga eti kisa mapenzi. Sijui wanawazaje.
Na mwanaume unakuwaje teja kwa mwanamke hadi unavurugwa? Anakulea au? Yeye ni nani kwako hadi uvurugwe na penzi lake? Nitavurugwa kwa kukosa mapenzi ya baba na mama basi. Vingine labda pesa tu.
N