Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Pambaneni na hali zenu 😀Siku Saba tu unaanza kututambia haya sisi tupo tumetulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambaneni na hali zenu 😀Siku Saba tu unaanza kututambia haya sisi tupo tumetulia
Yule nguvu nyingi kawekeza kuleSubiri azidishe mapenzi
Mapenzi Yanarun dunia love penzi kikohozi kulificha huliwezi
Nipo apa ameniletea supu aliyopika huku amejifunga mtandio tu, kweli mapenzi raha.Hili nalo litapita, utatusimulia tena
😀 😀 😀 kuna baharia hapo nyuma anakunyemeleaata mim mlimbwende nataka nipendwe kam uyo wako,,nipe ndugu ako bas ninenepe man nmekaa kam mshale😫😫
Hapa hakuna kuachana ni kuzaa mapacha tu, ukichangia na hii mvua hii 😀Sisemi kama mtaachana ila nasema hayana muda hayo
lazima katibu wa kamati ya roho mbaya nitetee chama changuWafitini naona mnakuja kwa vitisho 😀
Tufanyeje ili tuweze kuchimba mafuta yetu katika ufukwe wa pwani, ili tuweze kuwauzia nchi za Ulaya na Marekani ili tupate fedha za kigeni, pamoja na kuimarisha shilingi yetu vs US dollar?Mr mapenzi manake concepts zako ni mapenzi tu. Sometimes think beyond the box
Unanipa raha sana ephen 😃😃😃 mpaka watu wanatamani JF isiwepo ili nisipate raha nazopata mimi. Upepo ukinipuliza naona jina lako likivuma katika masikio yangu.Hongera kwa Lucas Mwashambwa nina kg zangu 79 Mungu anipe nini mie🤸
Hapa hakuna muongozo, kila mmoja ajiongoze kivyake 😀
Picha tafadhali ulivyomkumbatia baby wako!Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.
Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.
Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?
Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.
Dunia inaenda spidi sanaAiseeeeh
Nawili = NawiriTangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.
Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.
Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?
Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.
Wazee wa kukataa ndoalazima katibu wa kamati ya roho mbaya nitetee chama changu
Hapa nimepandisha miguu na viatu vyake juu ya sofapenzi likiwa na miezi miwili bwana utajua tuu.
Unamuandama sana Comrade Lukasi.Hongera kwa Lucas Mwashambwa nina kg zangu 79 Mungu anipe nini mie🤸
wee, mie ni mke ndoa naiheshimiwe babu baridi hili na hizi mvua, ndani unavyakula, unaomba uzima uamke lakini show show yan kaz moja tu kupeana joto bila kutuma ya kutolea wala kutafta sabuni uoge janaba la bureWazee wa kukataa ndoa