Kweli mapenzi yananenepesha

Kweli mapenzi yananenepesha

Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.

Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.

Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.

Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?

Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.​
Vitoto vya 2000 vikiingia kwene mapenzi tabi tupu!!
vina muda vyenyewe hivi bas
 
Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.

Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.

Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.

Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?

Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.​
Utoto ni burudani sana
Mbaya ni kwamba ukishakuwa mtu mzima ndiyo unagundua hilo
Niko hapa kukusanua ndugu enjoy you're utoto coz ukienda huwa haurudi tena zinabaki memory tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sasa ishafanyika research kuwa yapo mengi huku tz?, na pia nasikia kuchimba mpk wale wehu ngozi nyeupe watupe go ahead bila hivyo hakuna tutakachofanya, tupeane mawazo mkuu.
Tatizo ni mitambo, kuimiliki ni mziki mwingine; mpaka hapo tumesha shindwa, inabidi tupambane tu mahusiano 😀 😀 😀
 
Kwa mara ya kwanza maishani nilifika kilo 65 from 51 nikatoka hadi kitambi Kwa muda wa miezi 5.
Tulivyoachana kilo zilirudi hadi 49. Nikawa nazidiwa uzito na mfuko wa cement
Kupendwa raha sana, hapa anapambana niache pombe na kuwaza waza warembo wengine
 
Unanipa raha sana ephen 😃😃😃 mpaka watu wanatamani JF isiwepo ili nisipate raha nazopata mimi. Upepo ukinipuliza naona jina lako likivuma katika masikio yangu.
Ishukuriwe serikali wa CCM inayoongozwa na mama yetu dokta Samia Suluhu, mama wa wote asiyena makundi kwa kuleta uhuru kwa vyombo vya habari na mitandao sasa ndugu yetu Lucas Mwashambwa kajitwaalia mlimbwende.

Asante mama yetu Dokta Samia mama wa upendo mama wa demokrasia, mama wa Suluhu mdumisha amani na umoja, nyota ya Tanzania
 
Back
Top Bottom