Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Kwani gube gube lako umemuachia nani lile 🤣🤣🤣Hongera kwa Lucas Mwashambwa nina kg zangu 79 Mungu anipe nini mie🤸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani gube gube lako umemuachia nani lile 🤣🤣🤣Hongera kwa Lucas Mwashambwa nina kg zangu 79 Mungu anipe nini mie🤸
We waiti tulia bn mi nazungumzia weusi flan wa kuslide lips zenye nyama nyama...afu akicheka anacheka kidogo tusasa si ungenisalimia naweye
sjawah kua mweupe wala kufkiria kua mweupeWe waiti tulia bn mi nazungumzia weusi flan wa kuslide lips zenye nyama nyama...afu akicheka anacheka kidogo tu
Bila picha unachokisema hakina maana Bora nilaze fuvu langusjawah kua mweupe wala kufkiria kua mweupe
Vitoto vya 2000 vikiingia kwene mapenzi tabi tupu!!Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.
Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.
Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?
Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.
Utoto ni burudani sanaTangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.
Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.
Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?
Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.
kwaio hum jf kila dada n mweupeBila picha unachokisema hakina maana Bora nilaze fuvu langu
Ukimwi umekupenda ww unadai unanenepa
Hili nalo litapita, utatusimulia tena
Kwa mara ya kwanza maishani nilifika kilo 65 from 51 nikatoka hadi kitambi Kwa muda wa miezi 5.
Tulivyoachana kilo zilirudi hadi 49. Nikawa nazidiwa uzito na mfuko wa cement
😂 sio vizuriSisemi kama mtaachana ila nasema hayana muda hayo
😀 😀 tunasubiri pakuche tukashangae tumbili wawili watatuAnha, mna wiki moja, shida n kuwa umeshatumia 50% ya siku zenu za furaha... Sjui itakuaje sasa🤔
Aachwi mtu hapa, na hizi mvua hizi, labda ingekuwa kiangazi; sasa hivi ni kuwa mnyenyekevu mpaka huu msimu upite 😀 😀Mtaachana tu
Tatizo ni mitambo, kuimiliki ni mziki mwingine; mpaka hapo tumesha shindwa, inabidi tupambane tu mahusiano 😀 😀 😀Mkuu sasa ishafanyika research kuwa yapo mengi huku tz?, na pia nasikia kuchimba mpk wale wehu ngozi nyeupe watupe go ahead bila hivyo hakuna tutakachofanya, tupeane mawazo mkuu.
Chukua chuma hichoUpendwe mara ngapi
Ngoja nipachike mapacha hapa kwanzatafta wako hao walimbwende watakuja na kupotea
Kupendwa raha sana, hapa anapambana niache pombe na kuwaza waza warembo wengineKwa mara ya kwanza maishani nilifika kilo 65 from 51 nikatoka hadi kitambi Kwa muda wa miezi 5.
Tulivyoachana kilo zilirudi hadi 49. Nikawa nazidiwa uzito na mfuko wa cement
Ishukuriwe serikali wa CCM inayoongozwa na mama yetu dokta Samia Suluhu, mama wa wote asiyena makundi kwa kuleta uhuru kwa vyombo vya habari na mitandao sasa ndugu yetu Lucas Mwashambwa kajitwaalia mlimbwende.Unanipa raha sana ephen 😃😃😃 mpaka watu wanatamani JF isiwepo ili nisipate raha nazopata mimi. Upepo ukinipuliza naona jina lako likivuma katika masikio yangu.
Anajiita mpaji... wa god 😀😂😂Simuon mbon