Kweli Mike Tyson ndio wa kukosa hii hook, hakika ile match ilikuwa stage play

Kweli Mike Tyson ndio wa kukosa hii hook, hakika ile match ilikuwa stage play

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Cheki hapa, huyu dogo hii hook ingemuweka chini moja kwa moja na ikawa KO ila mike akaipotezea, chek hii clip hapa chini

Laiti hio hook mike angeituma kichwan kwa huyo dogo wangemtoa dogo hapo akiwa kwenye stretcher. Na ukicheki vzr mike alifake punch dogo akaidefend kisha akamuachia access mike upande mwingine wooote kabisa. Ama kweli tutafute hela ili uzeeni tusifanyiwe utani walomfanyia mike
 
Kwa matumizi gani?
Ya kawaida tu. Inshort ni kwa ajili ya kufanyia mazoezi ya Networking na Programming. Sasa kila nikiweka inawaka blank display nikiwasha sijui shida nini.
 
Ya kawaida tu. Inshort ni kwa ajili ya kufanyia mazoezi ya Networking na Programming. Sasa kila nikiweka inawaka blank display nikiwasha sijui shida nini.
Try ParrotOS
 
Kwani mike amepata kiasi gani baada ya hili pambano?
 
Back
Top Bottom