kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Kwa matumizi gani?Version gani ya linux ni nzuri kwa PC ya Dell E5440?
Ya kawaida tu. Inshort ni kwa ajili ya kufanyia mazoezi ya Networking na Programming. Sasa kila nikiweka inawaka blank display nikiwasha sijui shida nini.Kwa matumizi gani?
Watu wanapiganishwa kama jogoo. Kisa pesa. Sasa hizo pesa ukashapata maradhi ya kupoza yatasaidia niniVersion gani ya linux ni nzuri kwa PC ya Dell E5440?
Try ParrotOSYa kawaida tu. Inshort ni kwa ajili ya kufanyia mazoezi ya Networking na Programming. Sasa kila nikiweka inawaka blank display nikiwasha sijui shida nini.
Hahahaa angalau alipe madeniWatu wanapiganishwa kama jogoo. Kisa pesa. Sasa hizo pesa ukashapata maradhi ya kupoza yatasaidia nini
Habari na hoja mchanganyiko imezaa Mada na Habari Mchanganyiko!Version gani ya linux ni nzuri kwa PC ya Dell E5440?
NafutaHabari na hoja mchanganyiko imezaa Mada na Habari Mchanganyiko!
Usifute. Si unaona tayari umepata msaada wa kuanzia kutoka kwa mdau hapo- Post #6Nafuta
Nahisi ni dola milioni 20 hivi.Kwani mike amepata kiasi gani baada ya hili pambano?
Inadaiwa kapata 20mKwani mike amepata kiasi gani baada ya hili pambano?
Tumia kubuntu mimi ndio favourite distroYa kawaida tu. Inshort ni kwa ajili ya kufanyia mazoezi ya Networking na Programming. Sasa kila nikiweka inawaka blank display nikiwasha sijui shida nini.
Shukrani mkuu ngoja nitafte image yakeTumia kubuntu mimi ndio favourite distro
Bilion 50 za kitanzaniaKwani mike amepata kiasi gani baada ya hili pambano?