Kweli mke wa mtu ni sumu

Hebu simulia basi Mkuu
Yule mwalimu mlokole alinitongoza mwenyewe, mimi nikaliunga tu sikumuuliza kama kuolewa. Pale nilienda kufanya kazi kwa muda na yeye alikuwa mtumishi pale. Akawa ananiletea mpaka misosi lodge, nilikaa miezi miwili. Nachati naye muda wote.

Nilivyoona kakolea na penzi la Mhasibu, ikabidi niulize wadau. Wakasema mke wa mtu ila mumewe anaishi mbali. Kumuuliza akakubali, ila akasema muwewe hampi mapenzi ya dhati, sometimes anampiga, amevumilia amechoka anaona ajipoze kwangu. Nikasema sawa, nitaendelea kupiga miti ila nikamaliza kazi hapa namfungia vioo.

Yule mwanamke alikuwa hatari sana. Mume wake anaweza kuwepo lakini anakomaa kuwasiliana na mimi. Nikaanza kujutia.

Siku ya tukio walienda kwenye harusi na mumewe ila hakuniambia kama yupo naye. Wakazinguana huko anaitumia sms anakuja lodge na bajaji, anataka nimkumbatie dk 1 tu moyo wake uridhike. Nikamwambia poa, akaniambia nimsubiri nje barabarani hatashuka kwenye bajaji. Akaja pale nikanyonya mate ndani ya bajaji, akasepa.

Dakika 2 toka asepe, gari yake(yule dada alikuwa na gari) ikaja pale barabarani pembeni ya lodge ikasimama kama dk 3 hivi. Nikamuuliza mbona naona gari yako? Akasema ni yule fala(mume wake alikuwa anamwita fala) itakuwa ananifuatilia, nilikuwa naye harusini tukazinguana.

Maana yake kama angechelewa dakika 2 tu tulikuwa tunadakwa na yule bro. Baadae nikamjua nikamuonea huruma sana.

Huwa najutia sana yale mahusiano, sitarudia tena. Nimemtunzia ile siri sikuwahi kumwambia yeyote pale kazini kwake. Lakini lile penzi lilikuwa zito sijawahi kulipata popote. nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mke wa mtu.
 
Issue,ni je ameonjaje huko nje??
 
Kuwa makini na hiyo michezo boss. Watakunyang'anya hiyo cpa.
 

Mimi kuna kitu kimoja hua sijawahi kukielewa naombeni mnijibu.

Mwanaume ukigundua mkeo analiwa nje, ukatengeneza fumanizi, ukamkuta red handed anashenyentwa. Ukaja na mabaunsa wakamla kiboga mgoni wako nk nk.

Swali: Je, ukitoka hapo na huyo mwanamke unarudi nae nyumbani na unaendelea kumlala kama kawaida?
 
mbaya zaidi wizi wa wake za watu huwaga hauna mipaka dah!πŸ’
 
🀣Hii level ya kugongewa mke ni level ngumu sana kwenye game ya ndoa. Mungu baba nisaidie!
 
Aiseee!
 
Kosa la usaliti halina msamaha ndugu ! Ishi nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…