Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Kuwa amefanyiziwa?Usione aibu kama kuna lolote limetokea kijana
Tutakufariji na kukutia moyo,eleza tu.🤣
Kwahiyo lengo la kumfumania hua ni nini kama mwisho wa siku bado utaachana nae? Ukishakusanya ushahidi wa kutosha kwamba analiwa nje, kwanini usiachane nae kimya kimya kila mtu afate 50 zake?Kosa la usaliti halina msamaha ndugu ! Ishi nayo
Gentleman,Haunaga mipaka ila una manyaunyau SC au "Mbumbumbu SC"
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work
ila ufirauni ni ushetani wa kiwango kibaya cha juu mno dah! mtu anachezea kinyesi chooni na anafurahia kabisa?Wizi huu ni mbaya sana ila wanaofaidika nao ni wale ambao hawa afford kutunza mwanamke. Ndio wanaonaga mseleleko ila mwisho ni kifiro cha Pdiddy kutumia diddy oils.
Hata mimi mwaka 2018 dar tabata chupi chupu nidakwe demu hata hakusema kama ni mke wa mtu..kumbe jamaa lilikuwa limesafiri congo huko!Ilibaki kidogo nidakwe, daah leo ningekuwa kwenye mitandao. Tatizo kuna wanawake hawasemi kama wameolewa
Lengo ni kuhakikisha, ili ukimuacha ieleweke hujamuonea,,, kingine kaadhabu kidogo kwa mgoni wako ili na wengine mtaani wajifunze kutotembea na wake za watu, khs adhabu naomba nisielezee sana lakini kila mtu ana namna yake jinsi jambo lilivyomgusa kulingana na upeo wakeKwahiyo lengo la kumfumania hua ni nini kama mwisho wa siku bado utaachana nae? Ukishakusanya ushahidi wa kutosha kwamba analiwa nje, kwanini usiachane nae kimya kimya kila mtu afate 50 zake?
Mi hua naona kama kwenda kumfumania mtu wako kwanza ni kujidhalilisha wewe m
wenyewe.
MImi naona kufumania ndio sawa kabisa, unajua sisi wengine ni matomaso.Kwahiyo lengo la kumfumania hua ni nini kama mwisho wa siku bado utaachana nae? Ukishakusanya ushahidi wa kutosha kwamba analiwa nje, kwanini usiachane nae kimya kimya kila mtu afate 50 zake?
Mi hua naona kama kwenda kumfumania mtu wako kwanza ni kujidhalilisha wewe mwenyewe.
Tena kimbia kabisaBinafsi mtu akishasema kaolewa naacha mara moja mchakato.
Nakuunga mkono. Mimi mwenyewe siku nikimfumania mke wangu suruhisho ni kuachana nae tu. Ksbb itakuwa yeye kamchagua huyo ndio anaeridhika naeMke wa mtu nae ni mtu mzima mwenye meno 32 nae ana maamuzi yake.
Binafsi naona mkichapiwa wake zenu, mfikirie kuna kitu mtakua mnalega ndio maana umechapiwa na sio kuvimba na mchapaji ,sio suluhisho la kuepuka kuchapiwa🤔
ikifika hatua hiyo huyo mwanamke hafai kwa matumizi ni anafunga virago vyake anaenda kwaoMimi kuna kitu kimoja hua sijawahi kukielewa naombeni mnijibu.
Mwanaume ukigundua mkeo analiwa nje, ukatengeneza fumanizi, ukamkuta red handed anashenyentwa. Ukaja na mabaunsa wakamla kiboga mgoni wako nk nk.
Swali: Je, ukitoka hapo na huyo mwanamke unarudi nae nyumbani na unaendelea kumlala kama kawaida?
Ila kuwa makini sana, binafsi nimeshuhudia visa vya hatari kuhusu wake za watu, take care broMimi akijichanganya analiwa