Kweli mke wa mtu ni sumu

Kweli mke wa mtu ni sumu

Kuna wanaume wengine ndio chanzo chawake zao kuliwa hovyo.
Jamaa maisha yamemchapa kidogo tu kaikimbia Familia,Kahama na mkoa kabisa,Dada wawatu ako na watoto 4 ajue wanakula nini wana vaa nini,..Dada ndio yupo mwanzoni mwa 40s ndio anautaka balaaa...Wacha mafala wengine wagongewe tu.
 
Kwa umri wa miaka 30+ sitaki Na siwezi kufanya mazoea Na mke wa mtu , sitaki Na siwezi kufanya mazoea Na mwanafunzi wa kike anaesoma sekondari, sitaki na siwezi kufanya mazoea Na kada yoyote wa chama cha mapinduzi ( ccm) wewe tukiwa tunaongea usinikenulie Meno kwa kifupi usicheke Na Mimi hivi unawezaje kucheka Na adui?.....
 
Kosa la usaliti halina msamaha ndugu ! Ishi nayo
Kwahiyo lengo la kumfumania hua ni nini kama mwisho wa siku bado utaachana nae? Ukishakusanya ushahidi wa kutosha kwamba analiwa nje, kwanini usiachane nae kimya kimya kila mtu afate 50 zake?

Mi hua naona kama kwenda kumfumania mtu wako kwanza ni kujidhalilisha wewe mwenyewe.
 
Wizi huu ni mbaya sana ila wanaofaidika nao ni wale ambao hawa afford kutunza mwanamke. Ndio wanaonaga mseleleko ila mwisho ni kifiro cha Pdiddy kutumia diddy oils.
ila ufirauni ni ushetani wa kiwango kibaya cha juu mno dah! mtu anachezea kinyesi chooni na anafurahia kabisa?

unaweza muona kijana mrembo wa kike au kijana mtanashati wa kiume kanakwamba ni mtu wa maana kweli kweli, kumbe firauni tu aise.

shetani ni fundi sana wa kujigeuza mwema na mtakatifu aise 🐒
 
Kwahiyo lengo la kumfumania hua ni nini kama mwisho wa siku bado utaachana nae? Ukishakusanya ushahidi wa kutosha kwamba analiwa nje, kwanini usiachane nae kimya kimya kila mtu afate 50 zake?







Mi hua naona kama kwenda kumfumania mtu wako kwanza ni kujidhalilisha wewe m
Lengo ni kuhakikisha, ili ukimuacha ieleweke hujamuonea,,, kingine kaadhabu kidogo kwa mgoni wako ili na wengine mtaani wajifunze kutotembea na wake za watu, khs adhabu naomba nisielezee sana lakini kila mtu ana namna yake jinsi jambo lilivyomgusa kulingana na upeo wake
 
Kwahiyo lengo la kumfumania hua ni nini kama mwisho wa siku bado utaachana nae? Ukishakusanya ushahidi wa kutosha kwamba analiwa nje, kwanini usiachane nae kimya kimya kila mtu afate 50 zake?

Mi hua naona kama kwenda kumfumania mtu wako kwanza ni kujidhalilisha wewe mwenyewe.
MImi naona kufumania ndio sawa kabisa, unajua sisi wengine ni matomaso.
Hapo unapata ushahidi wa " beyond reasonable doubt" mkeo kaliwa.
 
Mke wa mtu nae ni mtu mzima mwenye meno 32 nae ana maamuzi yake.

Binafsi naona mkichapiwa wake zenu, mfikirie kuna kitu mtakua mnalega ndio maana umechapiwa na sio kuvimba na mchapaji ,sio suluhisho la kuepuka kuchapiwa🤔
Nakuunga mkono. Mimi mwenyewe siku nikimfumania mke wangu suruhisho ni kuachana nae tu. Ksbb itakuwa yeye kamchagua huyo ndio anaeridhika nae
 
Mimi kuna kitu kimoja hua sijawahi kukielewa naombeni mnijibu.

Mwanaume ukigundua mkeo analiwa nje, ukatengeneza fumanizi, ukamkuta red handed anashenyentwa. Ukaja na mabaunsa wakamla kiboga mgoni wako nk nk.

Swali: Je, ukitoka hapo na huyo mwanamke unarudi nae nyumbani na unaendelea kumlala kama kawaida?
ikifika hatua hiyo huyo mwanamke hafai kwa matumizi ni anafunga virago vyake anaenda kwao
 
Back
Top Bottom