Nelly Willy
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 458
- 965
Sasa haya yanatoka wapi mkuu?Usijali hata wa kwako utakuwa haujui anavyochakatwa wakati ukiwa na kazi zako.
Maziwa kuyafanyaje?Mme wa mtu ni maziwa, kwa hiyo mke wa mtu na mme wa mtu hakuna shida π
π€£π€£π, kwa hiyo mkuu kimekuuma?Sasa haya yanatoka wapi mkuu?
Utaelewa siku shaft ikipita kwenye channel 0Mii hapa selewi kitu mkuu ...
Sikuelewi kabisa ujue πππ
Mno asee ππ€£π€£π, kwa hiyo mkuu kimekuuma?
Ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!