Kweli mke wa mtu ni sumu

Kweli mke wa mtu ni sumu

Nilishawahi kula mke wa mtu kwa bahati mbaya sababu shetani alinipitia

Sijawahi kurudia na sitawahi kurudia

Jamaa mwenye mke kila nilipokuwa nakutana nae nilikuwa na hofu sana kama vile anajua nimemla mke wangu
 
Back
Top Bottom