Kweli Mo anaichezea Simba

Kweli Mo anaichezea Simba

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Ameeendelea kuwadanganya viongozi wa Simba aliowaweka mfukoni!!!

Leo tena amesaini million 250 hewa kwa club ya Simba kwa kutangaza bidhaa zake na club ya Simba

Huyu magori anatumika na Mo kutaka kuibia Simba
Mo anatoa hela kwenye makaratasi ila pesa haiendi kwenye akaunti ya Simba

Mwaka Jana Mo alisema atatoa million 250 kwa ajili ya mwaka mmoja kuidhamini club lakini pesa hata robo haikutoka

Mwaka huu tena amesaini miaka miwili kuidhamini Simba miaka miwili kwa million 250 lakini pesa ya mwaka Jana haijatoka sisi tuliokuwa tunajua Mo ni tapeli toka mwanzo tulimkataa sasa tunaanza kuelewana

Huyu muhuni Mo akishirikiana na magori watatuchezea mpaka lini?

Kuna mashabiki oya oya yanamshangilia huyu muhindi tapeli IPO siku wataelewa

Kumbuku billion 20 hata dalili hamna
 
Baadaye mtamuelewa mzee Kilomoni,msimu uliopita mlisaini na MO energy mil 250,mkatuambia mnaenda kujenga uwanja wa mazoezi,ila mbumbumbu fc mmesahau ahadi hiyo.

Siku moja mkipata ufahamu Mikia mtabaki midomo wazi maana hadi sasa kwa taarifa ya ndani MO anasema tayari ametumia billion 4
 
Kuongea kitu bila ushahidi ni hatari kubwa.! Kama uahisi jamaa kaweka pesa hewa emu nenda kanunue hisa uwe mmiliki wa simba!! Kama waona hakuna kitu kinachoendelea wacha maneno ingia kwene udhamini na wewe, klabu imekaribisha udhamini , hii ndio nafasi yako kudhamini club!! Nenda kadhamini mr.
 
Ukioewa team ww utaweza endesha unajua wachezaji wanalipwaje kuweka team kambi unajua galama yake usiwe unaropoka kma unacheza rede
 
Hakuna udhamini usiokuwa na faida. Akitoa hela ya usajiri hampigi kelele.
Kuna harufu ya wivu wa kibiashara.
 
Unataka udhahidi gani dunia ya teknolojia unapata source ya habari kupitia vyanzo tofauti
Yule muhuni ni mpigaji tu
Kuongea kitu bila ushahidi ni hatari kubwa.! Kama uahisi jamaa kaweka pesa hewa emu nenda kanunue hisa uwe mmiliki wa simba!! Kama waona hakuna kitu kinachoendelea wacha maneno ingia kwene udhamini na wewe, klabu imekaribisha udhamini , hii ndio nafasi yako kudhamini club!! Nenda kadhamini mr.
 
Kuna vijana oya oya wanamtukana kilomoni ukiwafatilia kwa kina utaona ni vijana Giza mbele wasiojitambua

Huyo magori fisadi alifukuzwa kazi serkalini kwa ufisadi wake wamekutana na fisadi mwenzake
Baada ya miaka mitano watasema wanaidai club billion 20
Baadaye mtamuelewa mzee Kilomoni,msimu uliopita mlisaini na MO energy mil 250,mkatuambia mnaenda kujenga uwanja wa mazoezi,ila mbumbumbu fc mmesahau ahadi hiyo.

Siku moja mkipata ufahamu Mikia mtabaki midomo wazi maana hadi sasa kwa taarifa ya ndani MO anasema tayari ametumia billion 4
 
Jamaa katoka kusikiliza clouds wanavojadili huku wao wakiwa hawajui chochote kinachoendelea, . hahahaha!! Kazi tunayo kwakweli , tafuteni source zenye uhakika na sio manenomaneno yasio na ukweli wowote!!
 
Wabongo fikra zenu fupi unabaki unajiuliza swali mmja tu eti ukoachiwa timu!!! What a https://jamii.app/JFUserGuide
Kwani mo kaachiwa timu au kawekeza kwa kufuata sheria
Hata akiondoka wawekezaji ni wengi
Ukioewa team ww utaweza endesha unajua wachezaji wanalipwaje kuweka team kambi unajua galama yake usiwe unaropoka kma unacheza rede
 
Ameeendelea kuwadanganya viongozi wa Simba aliowaweka mfukoni!!!

Leo tena amesaini million 250 hewa kwa club ya Simba kwa kutangaza bidhaa zake na club ya Simba

Huyu magori anatumika na Mo kutaka kuibia Simba
Mo anatoa hela kwenye makaratasi ila pesa haiendi kwenye akaunti ya Simba

Mwaka Jana Mo alisema atatoa million 250 kwa ajili ya mwaka mmoja kuidhamini club lakini pesa hata robo haikutoka

Mwaka huu tena amesaini miaka miwili kuidhamini Simba miaka miwili kwa million 250 lakini pesa ya mwaka Jana haijatoka sisi tuliokuwa tunajua Mo ni tapeli toka mwanzo tulimkataa sasa tunaanza kuelewana

Huyu muhuni Mo akishirikiana na magori watatuchezea mpaka lini?

Kuna mashabiki oya oya yanamshangilia huyu muhindi tapeli IPO siku wataelewa

Kumbuku billion 20 hata dalili hamna
Nyie ndo wale wazee kina akilimali
 
Back
Top Bottom