Nipo kwangu nasikia mizumari, mafujo, mazogo ya vijana mitaani. nilipoulizia nikaambiwa kuna simba na Yanga na Yanga wamepata bao 1.
chakushangaza wapo katika TV na wapo maskani.
Ukiwauliza wanafaidika na nini? Hawana wanachofaidika nacho
Hata Yanga akimfunga simba 100 kijana huyo anaekausha koo yake kwa makelele hapati faida yoyote.
Ngoja zicheze timu za Ulaya utadhani wa Ulaya wakicheza Simba au Yanga wanahabari nayo
Vijana WAFANYE IBADA
Katika hadithi maarufu iliyosimuliwa na Mtume Muhammad (SAW), imesimuliwa kuwa:
"Watu saba watapata kivuli cha Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama, siku ambayo hakutakuwa na kivuli kingine isipokuwa kivuli Chake: Imamu mwadilifu, kijana aliyekulia katika ibada ya Mwenyezi Mungu, mtu ambaye moyo wake umefungamana na msikiti, watu wawili waliopendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtu aliyekataa kumfuata mwanamke mrembo kwa hofu ya Mungu, mtu aliyetoa sadaka kwa siri, na mtu aliyemkumbuka Mwenyezi Mungu kwa faragha mpaka macho yake yakatokwa na machozi."
Hivyo basi, hadithi hii inaonyesha thamani kubwa ya kijana anayemcha Mungu na kumcha katika ujana wake, na inasisitiza umuhimu wa maisha ya ibada na uadilifu kama njia ya kupata radhi za Mwenyezi Mungu na baraka zake za milele.