Kweli mpira ni wazimu, nashuhudia leo

Kweli mpira ni wazimu, nashuhudia leo

Hao waarabu unaowaabudu hapa wanafuata nini cha kwenu? Au wewe ni muarabu?
Kuna hata muarabu mwenye jina linalokaribia na jina la mababu zako?

Tuache na mpira, nenda kasome likitabu la mamabu wa kiarabu huko.

Qur'an 21:107

“Na hatukutuma ila kuwa rehema kwa walimwengu wote.”

Aya hii inaeleza kwamba Mtume Muhammad (SAW) alitumwa kuwa rehema kwa ulimwengu wote, si kwa watu wa kabila au taifa fulani.
 
Mpira wa miguu ni haram kwenye Uislam ila Saudia Arabia nchi yenye Macca na Madina wana ligi kabisa 😂 unawakuta uwanjani na kanzu zao
 
Qur'an 49:13

“Ewe watu, hakika Sisi tumeumba kutoka kwenu kwa mwanamume na mwanamke na tukawafanya mataifa na makabila ili mpate kujua kila mmoja. Hakika mwenye heshima kwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mwenye taqwa. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.”

Aya hii inaonyesha kwamba watu wameumbwa kuwa mataifa na makabila ili waweze kujua na kuelewana. Heshima mbele ya Mwenyezi Mungu inatokana na taqwa, si kabila au taifa.
 
Qur'an 21:107

“Na hatukutuma ila kuwa rehema kwa walimwengu wote.”

Aya hii inaeleza kwamba Mtume Muhammad (SAW) alitumwa kuwa rehema kwa ulimwengu wote, si kwa watu wa kabila au taifa fulani.
Alitumwa na nani kuwa rehema? Alikuwa rehema? Rehema ni kuvamia na kuwaua wasiokubaliana na mafundisho yake yaliyojaa chuki?
 
Qur'an 49:13

“Ewe watu, hakika Sisi tumeumba kutoka kwenu kwa mwanamume na mwanamke na tukawafanya mataifa na makabila ili mpate kujua kila mmoja. Hakika mwenye heshima kwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mwenye taqwa. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.”

Aya hii inaonyesha kwamba watu wameumbwa kuwa mataifa na makabila ili waweze kujua na kuelewana. Heshima mbele ya Mwenyezi Mungu inatokana na taqwa, si kabila au taifa.
Nlichokiandika na ww Nlichokiandika kina uhusiano gn?
 
Alitumwa na nani kuwa rehema? Alikuwa rehema? Rehema ni kuvamia na kuwaua wasiokubaliana na mafundisho yake yaliyojaa chuki?
Alitumwa na nani kuwa rehema? Alikuwa rehema? Rehema ni kuvamia na kuwaua wasiokubaliana na mafundisho yake yaliyojaa chuki?

2. Qur'an 2:256

“Hakuna kulazimishwa katika dini. Ukweli umebainishwa kutoka kwa upotofu. Basi ambaye atakataa tagutu na akamwamini Mwenyezi Mungu, hakika ameshika kushika kwa uaminifu ulio imara; wala hakuweza kupasuka.”

Aya hii inasisitiza kuwa hakuna kulazimishwa katika dini, ikionyesha kuwa Uislamu unahimiza uhuru wa kidini na amani.

3. Qur'an 8:61

“Na ikiwa wanataka amani, basi jibu na amani. Na tumtumie kutoka kwa Mwenyezi Mungu kuwa ametukuka. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye hikima.”

Hii inaeleza kwamba Waislamu wanapaswa kujibu kwa amani ikiwa watu wanataka amani.

4. Qur'an 41:34

“Na si sawa mema na mabaya. Rudisha yaliyo bora zaidi kwa kujua kuwa adui yako atakuwa kama rafiki wa karibu.”

Aya hii inasisitiza umuhimu wa kubadilishana mema kwa kupinga ubaya kwa njia nzuri, ambayo ni sehemu ya maisha kwa amani na ushirikiano.

5. Qur'an 16:90

“Mwenyezi Mungu anawaamrisheni kuwa muwe waadilifu na kuwa na ihsani, na kuwapa jamaa zake haki zao; na anawakatazeni ufisadi na dhuluma, na kuwaletea haki na usawa. Na anawaamrisheni kumwabudu Mwenyezi Mungu na kumwomba msaada, kwa kuwa Yeye ndiye Mwokozi wa dhiki na kimbilio la wema.”

Hii inaeleza kuwa Uislamu unahimiza uadilifu, wema, na kutopendelea dhuluma.
 
1719492159713.jpg
 
"Watu saba watapata kivuli cha Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama, siku ambayo hakutakuwa na kivuli kingine isipokuwa kivuli Chake: Imamu mwadilifu, kijana aliyekulia katika ibada ya Mwenyezi Mungu, mtu ambaye moyo wake umefungamana na msikiti, watu wawili waliopendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtu aliyekataa kumfuata mwanamke mrembo kwa hofu ya Mungu, mtu aliyetoa sadaka kwa siri, na mtu aliyemkumbuka Mwenyezi Mungu kwa faragha mpaka macho yake yakatokwa na machozi."
Nje ya mada. Si nilisikia Uislamu ndiyo ulianzisha Hesabu? Mbona hiyo aya inataja watu saba ila ukiwahesabu wako nane? FaizaFoxy
 
Nipo kwangu nasikia mizumari, mafujo, mazogo ya vijana mitaani. nilipoulizia nikaambiwa kuna simba na Yanga na Yanga wamepata bao 1.
chakushangaza wapo katika TV na wapo maskani.
Ukiwauliza wanafaidika na nini? Hawana wanachofaidika nacho
Hata Yanga akimfunga simba 100 kijana huyo anaekausha koo yake kwa makelele hapati faida yoyote.
Ngoja zicheze timu za Ulaya utadhani wa Ulaya wakicheza Simba au Yanga wanahabari nayo
Vijana WAFANYE IBADA

Katika hadithi maarufu iliyosimuliwa na Mtume Muhammad (SAW), imesimuliwa kuwa:

"Watu saba watapata kivuli cha Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama, siku ambayo hakutakuwa na kivuli kingine isipokuwa kivuli Chake: Imamu mwadilifu, kijana aliyekulia katika ibada ya Mwenyezi Mungu, mtu ambaye moyo wake umefungamana na msikiti, watu wawili waliopendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtu aliyekataa kumfuata mwanamke mrembo kwa hofu ya Mungu, mtu aliyetoa sadaka kwa siri, na mtu aliyemkumbuka Mwenyezi Mungu kwa faragha mpaka macho yake yakatokwa na machozi."

Hivyo basi, hadithi hii inaonyesha thamani kubwa ya kijana anayemcha Mungu na kumcha katika ujana wake, na inasisitiza umuhimu wa maisha ya ibada na uadilifu kama njia ya kupata radhi za Mwenyezi Mungu na baraka zake za milele.
Faida si lazima iwe katika CASH..!!

Mfano, leo hii, just convert furaha ya wana Yanga kuwa cash au kuwa anything ambacho kitakupa uelewa wa faida iliyopatikana..!! Si kila faida ipo kwenye monetary value, nyingine ni emotional, dignity, satisfaction etc..!! Makolo mna shida sana.
 
Nipo kwangu nasikia mizumari, mafujo, mazogo ya vijana mitaani. nilipoulizia nikaambiwa kuna simba na Yanga na Yanga wamepata bao 1.
chakushangaza wapo katika TV na wapo maskani.
Ukiwauliza wanafaidika na nini? Hawana wanachofaidika nacho
Hata Yanga akimfunga simba 100 kijana huyo anaekausha koo yake kwa makelele hapati faida yoyote.
Ngoja zicheze timu za Ulaya utadhani wa Ulaya wakicheza Simba au Yanga wanahabari nayo
Vijana WAFANYE IBADA

Katika hadithi maarufu iliyosimuliwa na Mtume Muhammad (SAW), imesimuliwa kuwa:

"Watu saba watapata kivuli cha Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama, siku ambayo hakutakuwa na kivuli kingine isipokuwa kivuli Chake: Imamu mwadilifu, kijana aliyekulia katika ibada ya Mwenyezi Mungu, mtu ambaye moyo wake umefungamana na msikiti, watu wawili waliopendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtu aliyekataa kumfuata mwanamke mrembo kwa hofu ya Mungu, mtu aliyetoa sadaka kwa siri, na mtu aliyemkumbuka Mwenyezi Mungu kwa faragha mpaka macho yake yakatokwa na machozi."

Hivyo basi, hadithi hii inaonyesha thamani kubwa ya kijana anayemcha Mungu na kumcha katika ujana wake, na inasisitiza umuhimu wa maisha ya ibada na uadilifu kama njia ya kupata radhi za Mwenyezi Mungu na baraka zake za milele.
Unamzunguzia Mungu yupi? Je Unazungumzia Mungu anayenadiwa kuwa ni mjuzi wa vyote, anayejua ya nyuma, ya sasa na ya mbele? Au sio Mungu huyo?
 
Back
Top Bottom