Hao waarabu unaowaabudu hapa wanafuata nini cha kwenu? Au wewe ni muarabu?
Kuna hata muarabu mwenye jina linalokaribia na jina la mababu zako?
Tuache na mpira, nenda kasome likitabu la mamabu wa kiarabu huko.
Mpira wa miguu ni haram kwenye Uislam ila Saudia Arabia nchi yenye Macca na Madina wana ligi kabisa π unawakuta uwanjani na kanzu zao
Alitumwa na nani kuwa rehema? Alikuwa rehema? Rehema ni kuvamia na kuwaua wasiokubaliana na mafundisho yake yaliyojaa chuki?Qur'an 21:107
βNa hatukutuma ila kuwa rehema kwa walimwengu wote.β
Aya hii inaeleza kwamba Mtume Muhammad (SAW) alitumwa kuwa rehema kwa ulimwengu wote, si kwa watu wa kabila au taifa fulani.
Nlichokiandika na ww Nlichokiandika kina uhusiano gn?Qur'an 49:13
βEwe watu, hakika Sisi tumeumba kutoka kwenu kwa mwanamume na mwanamke na tukawafanya mataifa na makabila ili mpate kujua kila mmoja. Hakika mwenye heshima kwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mwenye taqwa. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.β
Aya hii inaonyesha kwamba watu wameumbwa kuwa mataifa na makabila ili waweze kujua na kuelewana. Heshima mbele ya Mwenyezi Mungu inatokana na taqwa, si kabila au taifa.
Alitumwa na nani kuwa rehema? Alikuwa rehema? Rehema ni kuvamia na kuwaua wasiokubaliana na mafundisho yake yaliyojaa chuki?
Alitumwa na nani kuwa rehema? Alikuwa rehema? Rehema ni kuvamia na kuwaua wasiokubaliana na mafundisho yake yaliyojaa chuki?
kwamba sote duniani tunatakiwa tuwe waislam. asietaka hiari yake akifa ndio atajua athari yakeNlichokiandika na ww Nlichokiandika kina uhusiano gn?
Ww huna akili, unaambiwa hv unajibu hvkwamba sote duniani tunatakiwa tuwe waislam. asietaka hiari yake akifa ndio atajua athari yake
ππππ Akili zimeishia kwa wallaaa wakubaluuu
Nje ya mada. Si nilisikia Uislamu ndiyo ulianzisha Hesabu? Mbona hiyo aya inataja watu saba ila ukiwahesabu wako nane? FaizaFoxy"Watu saba watapata kivuli cha Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama, siku ambayo hakutakuwa na kivuli kingine isipokuwa kivuli Chake: Imamu mwadilifu, kijana aliyekulia katika ibada ya Mwenyezi Mungu, mtu ambaye moyo wake umefungamana na msikiti, watu wawili waliopendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtu aliyekataa kumfuata mwanamke mrembo kwa hofu ya Mungu, mtu aliyetoa sadaka kwa siri, na mtu aliyemkumbuka Mwenyezi Mungu kwa faragha mpaka macho yake yakatokwa na machozi."
Faida si lazima iwe katika CASH..!!Nipo kwangu nasikia mizumari, mafujo, mazogo ya vijana mitaani. nilipoulizia nikaambiwa kuna simba na Yanga na Yanga wamepata bao 1.
chakushangaza wapo katika TV na wapo maskani.
Ukiwauliza wanafaidika na nini? Hawana wanachofaidika nacho
Hata Yanga akimfunga simba 100 kijana huyo anaekausha koo yake kwa makelele hapati faida yoyote.
Ngoja zicheze timu za Ulaya utadhani wa Ulaya wakicheza Simba au Yanga wanahabari nayo
Vijana WAFANYE IBADA
Katika hadithi maarufu iliyosimuliwa na Mtume Muhammad (SAW), imesimuliwa kuwa:
"Watu saba watapata kivuli cha Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama, siku ambayo hakutakuwa na kivuli kingine isipokuwa kivuli Chake: Imamu mwadilifu, kijana aliyekulia katika ibada ya Mwenyezi Mungu, mtu ambaye moyo wake umefungamana na msikiti, watu wawili waliopendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtu aliyekataa kumfuata mwanamke mrembo kwa hofu ya Mungu, mtu aliyetoa sadaka kwa siri, na mtu aliyemkumbuka Mwenyezi Mungu kwa faragha mpaka macho yake yakatokwa na machozi."
Hivyo basi, hadithi hii inaonyesha thamani kubwa ya kijana anayemcha Mungu na kumcha katika ujana wake, na inasisitiza umuhimu wa maisha ya ibada na uadilifu kama njia ya kupata radhi za Mwenyezi Mungu na baraka zake za milele.
Unamzunguzia Mungu yupi? Je Unazungumzia Mungu anayenadiwa kuwa ni mjuzi wa vyote, anayejua ya nyuma, ya sasa na ya mbele? Au sio Mungu huyo?Nipo kwangu nasikia mizumari, mafujo, mazogo ya vijana mitaani. nilipoulizia nikaambiwa kuna simba na Yanga na Yanga wamepata bao 1.