Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
You are right,i like this discusion,BUT what i do not like is the " kind" of this discution.......
You better " ktorulos" your head and understand that ..........!!
Hujathibitisha mungu yupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are right,i like this discusion,BUT what i do not like is the " kind" of this discution.......
You better " ktorulos" your head and understand that ..........!!
Bado unaonekana hutaki kabisa kuzisikia sifa za mungu zaidi ya upendo,uwezo wote na ujuzi wote,hiyo ndiyo tabu iliyopo kwako.
Halafu swali langu nimeuliza kuhusu sie binadamu kuuwa wanyama ni uovu au si uovu? Sijazungumzia mambo ya maovu ya binadamu kwa sababu ndiyo nataka nijue uovu hasa ni nini kwako.
Nikuoe tena mkuu?
Wanaodai mungu yupo hawajathibitisha kwamba yupo, hawajatueleza imekuwaje mungu kaumba ulimwengu huu na sio mzuri zaidi usiowezekana kuwa na ubaya.
Mungu ni idea iliyopitwa na wakati. Iliyotungwa enzi za ujinga na kabla ya uchunguzi kuchukua hatamu katika maisha ya watu.
Ndiyo maana tunaona simple logical consistency tests mungu anashindwa kupasi.
Kuna mtu anahoji kuhusu uthibitisho wakati yeye mwenyewe hana uthibitisho wa uthibitisho kama kuna uthibitisho .....Naamini bila shaka yoyote uwepo wa MUNGU. Lakini maswali ya Kiranga et al yana mantiki kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Kuna padre m1 alikuwa mwalimu wangu nilipokuwa secondary aliwahi kutuuliza darasani maswali hayo tukakosa majibu (we were confused) then akatuambia jibu ni kwamba "Kwa akili yetu binadamu hatuwezi ku-figure out kila kitu kuhusu uwezo na ukuu wa Mungu" kuna vitu hatuvijui na hatutavijua hata tukeshe tunafikiria maana viko beyond our thinking capacity. Akatupa na maana ya IMANI ni kuwa na hakika na jambo bila ushahidi wa dhahiri, mfano huwezi sema naamini mtoto akayezaliwa ni wakiume wakati wakti umeshachek kwa ultra sound na kubaini hilo LAKINI Unaweza sema maneno hayo ikiwa hujathibitisha kwa kifaa chochote ila akilini mwako unahisi bila shaka atazaliwa mtoto wakiume.
Mf.2: Huwezi sema naamini Kikwete ni rais wa tz. (Hiyo sio IMANI maana kuna ushahidi na kila m2 anatambua hilo na ushahidi upo)
HITIMISHO
Kiranga na nduguzo mkielewa maana ya IMANI hakuna haja ya kuhojiana na kudaiana ushahidi ktk jambo la ki-IMANI.
Wanaodai mungu yupo hawajathibitisha kwamba yupo, hawajatueleza imekuwaje mungu kaumba ulimwengu huu na sio mzuri zaidi usiowezekana kuwa na ubaya.
Mungu ni idea iliyopitwa na wakati. Iliyotungwa enzi za ujinga na kabla ya uchunguzi kuchukua hatamu katika maisha ya watu.
Ndiyo maana tunaona simple logical consistency tests mungu anashindwa kupasi.
Naamini bila shaka yoyote uwepo wa MUNGU. Lakini maswali ya Kiranga et al yana mantiki kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Kuna padre m1 alikuwa mwalimu wangu nilipokuwa secondary aliwahi kutuuliza darasani maswali hayo tukakosa majibu (we were confused) then akatuambia jibu ni kwamba "Kwa akili yetu binadamu hatuwezi ku-figure out kila kitu kuhusu uwezo na ukuu wa Mungu" kuna vitu hatuvijui na hatutavijua hata tukeshe tunafikiria maana viko beyond our thinking capacity. Akatupa na maana ya IMANI ni kuwa na hakika na jambo bila ushahidi wa dhahiri, mfano huwezi sema naamini mtoto akayezaliwa ni wakiume wakati wakti umeshachek kwa ultra sound na kubaini hilo LAKINI Unaweza sema maneno hayo ikiwa hujathibitisha kwa kifaa chochote ila akilini mwako unahisi bila shaka atazaliwa mtoto wakiume.
Mf.2: Huwezi sema naamini Kikwete ni rais wa tz. (Hiyo sio IMANI maana kuna ushahidi na kila m2 anatambua hilo na ushahidi upo)
HITIMISHO
Kiranga na nduguzo mkielewa maana ya IMANI hakuna haja ya kuhojiana na kudaiana ushahidi ktk jambo la ki-IMANI.
Kuna tatizo ambalo limekuwa sehemu ya wewe mwenyewe.
Umeshindwa kueleza mantiki ya kwa nini Mungu awe hayupo kwa kuwa tu kuna vitu ulivyotegemea atende Kama mtazamo wako ulivyo hajatenda. Ni ugonjwa huo na sio uzima.
Kuna wajinga Kama Newton , Keppler na Galileo waliimba idea ya Mungu huku wakifanya mambo ambayo Kiranga et al ambao wamefuta ujinga wakiwa wanashangaa ! Hakuna ujinga unaozidi idea ya kwamba ulimwengu ulitokea kiajali pasipo mpangilio wala ujuzi wowote.
Na bahati iliyo mbaya wajinga waliovuka kiwango cha ujinga wa kawaida Kama Kiranga et al ulimwengu wa hakuna mungu unawaona ni wenye akili !
Umedoda Kiranga. Kuishi kwa kukariri kumekufanya ushindwe kujitambua.
Tangu mjadala umeanza na mijadala mingine mingi hutoki nje ya vile ulivyokaririshwa na wajinga wenzio ambao wanafikiri ujanja ni kulinganisha Mungu na Sayansi na kuwaamisha waliohitimu katika majinga jinga yao wawe na uchaguzi ama wa Mungu au Sayansi.
Wajanja tunajua hakuna upinzani wala ukinzani wa Mungu na Sayansi kwa kuwa uhusiano wa Mungu na Sayansi ndiyo kiini na machine inayoendeleza sayansi.
Kwa watu Kama Kiranga hili ni sawa na kumgundisha nguruwe aeiou.
Ndugu. Unafanya kosa ambalo litazidi kusokomeza watu kwenye majinga majinga.
Umetumia neno IMANI pasipo kueleza ni nini Una maanisha ! Kiranga et al kwao imani ni kukubali pasipo ushahidi. Sawa na atheist anaposema hakuna Mungu ni imani isiyo na ushahidi tofauti na ushahidi utilewao na theist.
Kuna mambo ambayo nataka wewe uniambie Kama unaamini na unaweza toa ushahidi wake ili nifahamu maana ya Imani uliyoimaanisha.
Kuna kitu kinaitwa "energy" na "gravity" unaweza kutoa ushahidi wa uwepo wake ? Au unaamini vipo pasipo ushahidi ?
Salaam, vipi huko?
Vijana wamechoka bado?
First thing first, ukifikiri nakataa kuwepo kwa mungu kwa sababu kuna vitu mimi namtegemea atende utakuwa umekosea.
Nakataa kuwepo kwa mungu kwa sababu anajikanganya yeye mwenyewe hata kabla mimi sijaanza kumtegemea afanye chochote.
Hujathibitisha mungu yupo.
Ushahidi ni nini?
Sina muda wa kufikiri sababu yako ya kukataa kuwepo kwa Mungu wakati fikra zako unaziweka hapa katika kariri zako.
Mungu amejikanganya vipi ? Unao ushahidi au rejea ya kuontesha Mungu akijikanganya ?
Ni ajabu kwamba Kiranga anajiweka kundi la wenye akili huku akiwaweka Newton, Kepler na Galileo kundi la wajinga.
Naamini maana ya "wajinga" kisayansi ni tofauti na ilivyo kwenye lugha sanifu.
Uthibitisho ni hitaji la mazuzu wajanja huhitaji ushahidi.
Ungekuwa na uwezo wa kufikiri sawa sawa ningekuuliza wewe ukiwa mwanasayansi mwenye uwezo mkubwa wa kukariri uthibitishe uwepo wa "Energy" na "Gravity" viitu ambavyo Mungu unayetaka uthibitisho wake ndiye aliviumba
Kuputia uthibitisho wako nami nitajifunza namna ya kumthibitisha Muumbaji kupitia namna zee la kukariri Kiranga alivyoweza kuthibitisha kuwepo kwa Energy na Gravity.
Twende kazi
Shusha kariri zako au rejea kwenye default position yako
"Hutathibitisha mungu yupo"
Ushahidi ni hoja au kitu kitolewacho kuonyesha kwamba dai husika lina ukweli kulingana na hoja inayotolewa kulinganisha na dai
Mfano. Kiranga ni bingwa wa kukariri.
Ushahidi ni hoja anazo andika hapa jukwani kujibu hoja za wengine ambapo hoja hizo hizo Mara zote huzitumia kujibu hoja hata mtoa hoja akibadili muundo na maana ya hoja.
Ukimuuliza athibitishe kuwepo kwa Energy na Gravity
Mara nyingi badala ya kutoa uthibitisho atajibu
"Hazithibitishi uwepo wa Mungu"
"Hujathibitisha uwepo wa Mungu"
Kiranga perveted logic at work.Ukishajadiliana na kunijibu katika thread hii tu una muda wa kifikiri sababu yangu ya kukataa kiwepo kwa mungu.
Tatizo si muda.
Tatizo ni hoja.
Bora ungeandika "Sina hoja ya kikujibu...."
Hivi, kati yangu mimi nonayesema mwanadamu ana haki ya ku question kila kitu, mpaka ku question uwepo wa mungu, na wewe unayekubali mungu aliyeandikwa katika vitabu vilivyoandikwa tangu enzi za ujinga, nani anakariri hapa?
Mimi nikishindwa kuthibitisha kuwepo kwa energy na gravity, hilo linathibitisha mungu kuwepo?
What kind of perverted logic is that?
Mimi kushindwa kuthibitisha kuwepo kwa energy au gravity kunathibitisha kuwepo kwa mungu?
Kati yangu ninayesema vitu vyote tunatakiwa kuvihoji, mpaka huyo mungu na uwepo wake, na wewe unayekubali mapokeo ya miaka na miaka bila ya kuweza kuyathibitisha, nani anakariri?
Huwezi kuniuliza kama nimeelewa kitu ambacho nilishakisema hapa awali, labda tatizo wewe hunifuatilii kwa makini.
Kimsingi, watu wana haki ya kuamini chochote, nishataja mpaka maazimio ya Umoja wa Mataifa yanayotetea haki za watu kuamini wanavotaka, ilimradi wasivunje sheria.
Kwa hiyo sina tatizo na imani. Na huwezi kuniuliza kama nimeeleea hili leo. Kwa sababu nishalifundisha awali.
Tatizo linakuja mtu anapoanza kudai imani yake ndiyo ukweli.
In fact, myu anayedai imani yake ni ukweli anasema an oxymoron.