Kweli Mungu ni muweza wa yote?

You are right,i like this discusion,BUT what i do not like is the " kind" of this discution.......

You better " ktorulos" your head and understand that ..........!!

Hujathibitisha mungu yupo.
 

Mungu akiwa na sifa zote sawa, akipata maswali yanayoharibu uungu wake kwenye sifa moja tu, uungu wote unaharibika.

Huwezi kisema kwamba 1 + 1 = 3, halafu ukasema kwamba number theory bado ina hold kwa sababu namba nyingine zote zinajumlishika sawa.

Ukishapata 1 + 1 = 3, hiyo maana yake number theory yote hai make sense.

Ukiulizwa kuhusu sifa A ya mungu, jibi swali kuhusu sifa A. Usiseme mbona sifa nyingine zote ziko sawa. Hujaulizwa kuhusu sifa nyingine zote kuwa sawa.

Binadamu ana uovu. Hakuba pahali ambapo binadamu amedai au kudaiwa kwamba hana uovu as far as I know. Unachotaka kusema zaidi ni nini kuhusu hilo?
 
Wanaodai mungu yupo hawajathibitisha kwamba yupo, hawajatueleza imekuwaje mungu kaumba ulimwengu huu na sio mzuri zaidi usiowezekana kuwa na ubaya.

Mungu ni idea iliyopitwa na wakati. Iliyotungwa enzi za ujinga na kabla ya uchunguzi kuchukua hatamu katika maisha ya watu.

Ndiyo maana tunaona simple logical consistency tests mungu anashindwa kupasi.
 

Uko sahihi 100%,mungu ni Idea inayowakilisha uoga wa mwanadamu!,hasa linapokuja swala la kifo,ni Idea ya kutunga inayopoteza mashiko kadri muda unavyosonga.

Faith and Religion will remain as a wishful thinking! Havina maana wala nafasi katika Ulimwengu huu kwa sasa.Enzi za ujinga zimepita ambapo mtu mmoja aliweza kuamka na kusema eti mungu kamtokea pangoni akiwa na mkewe! Kisha kuwalazimisha watu wote kukubali eti yeye ni mtume wa mungu! Na et kapewa maagizo na mungu!.

Hizi sio enzi za ujinga ambapo mtu mmoja ama kikundi kiliweza kuinuka na kusema mungu wa mababu zao ndiye mungu sahihi na wa watu wote!
 
Kuna mtu anahoji kuhusu uthibitisho wakati yeye mwenyewe hana uthibitisho wa uthibitisho kama kuna uthibitisho .....

Kuna watu ni man'gaa sana .....!!
 

Kuna tatizo ambalo limekuwa sehemu ya wewe mwenyewe.
Umeshindwa kueleza mantiki ya kwa nini Mungu awe hayupo kwa kuwa tu kuna vitu ulivyotegemea atende Kama mtazamo wako ulivyo hajatenda. Ni ugonjwa huo na sio uzima.
Kuna wajinga Kama Newton , Keppler na Galileo waliimba idea ya Mungu huku wakifanya mambo ambayo Kiranga et al ambao wamefuta ujinga wakiwa wanashangaa ! Hakuna ujinga unaozidi idea ya kwamba ulimwengu ulitokea kiajali pasipo mpangilio wala ujuzi wowote.
Na bahati iliyo mbaya wajinga waliovuka kiwango cha ujinga wa kawaida Kama Kiranga et al ulimwengu wa hakuna mungu unawaona ni wenye akili !
Umedoda Kiranga. Kuishi kwa kukariri kumekufanya ushindwe kujitambua.
Tangu mjadala umeanza na mijadala mingine mingi hutoki nje ya vile ulivyokaririshwa na wajinga wenzio ambao wanafikiri ujanja ni kulinganisha Mungu na Sayansi na kuwaamisha waliohitimu katika majinga jinga yao wawe na uchaguzi ama wa Mungu au Sayansi.
Wajanja tunajua hakuna upinzani wala ukinzani wa Mungu na Sayansi kwa kuwa uhusiano wa Mungu na Sayansi ndiyo kiini na machine inayoendeleza sayansi.
Kwa watu Kama Kiranga hili ni sawa na kumgundisha nguruwe aeiou.
 
Last edited by a moderator:

Ndugu. Unafanya kosa ambalo litazidi kusokomeza watu kwenye majinga majinga.
Umetumia neno IMANI pasipo kueleza ni nini Una maanisha ! Kiranga et al kwao imani ni kukubali pasipo ushahidi. Sawa na atheist anaposema hakuna Mungu ni imani isiyo na ushahidi tofauti na ushahidi utilewao na theist.
Kuna mambo ambayo nataka wewe uniambie Kama unaamini na unaweza toa ushahidi wake ili nifahamu maana ya Imani uliyoimaanisha.
Kuna kitu kinaitwa "energy" na "gravity" unaweza kutoa ushahidi wa uwepo wake ? Au unaamini vipo pasipo ushahidi ?
 
Last edited by a moderator:

First thing first, ukifikiri nakataa kuwepo kwa mungu kwa sababu kuna vitu mimi namtegemea atende utakuwa umekosea.

Nakataa kuwepo kwa mungu kwa sababu anajikanganya yeye mwenyewe hata kabla mimi sijaanza kumtegemea afanye chochote.

Hujathibitisha mungu yupo.
 

Ushahidi ni nini?
 
Last edited by a moderator:

Sina muda wa kufikiri sababu yako ya kukataa kuwepo kwa Mungu wakati fikra zako unaziweka hapa katika kariri zako.
Mungu amejikanganya vipi ? Unao ushahidi au rejea ya kuontesha Mungu akijikanganya ?
Ni ajabu kwamba Kiranga anajiweka kundi la wenye akili huku akiwaweka Newton, Kepler na Galileo kundi la wajinga.
Naamini maana ya "wajinga" kisayansi ni tofauti na ilivyo kwenye lugha sanifu.

Uthibitisho ni hitaji la mazuzu wajanja huhitaji ushahidi.
Ungekuwa na uwezo wa kufikiri sawa sawa ningekuuliza wewe ukiwa mwanasayansi mwenye uwezo mkubwa wa kukariri uthibitishe uwepo wa "Energy" na "Gravity" viitu ambavyo Mungu unayetaka uthibitisho wake ndiye aliviumba
Kuputia uthibitisho wako nami nitajifunza namna ya kumthibitisha Muumbaji kupitia namna zee la kukariri Kiranga alivyoweza kuthibitisha kuwepo kwa Energy na Gravity.
Twende kazi
Shusha kariri zako au rejea kwenye default position yako
"Hutathibitisha mungu yupo"
 
Last edited by a moderator:
Ushahidi ni nini?

Ushahidi ni hoja au kitu kitolewacho kuonyesha kwamba dai husika lina ukweli kulingana na hoja inayotolewa kulinganisha na dai
Mfano. Kiranga ni bingwa wa kukariri.
Ushahidi ni hoja anazo andika hapa jukwani kujibu hoja za wengine ambapo hoja hizo hizo Mara zote huzitumia kujibu hoja hata mtoa hoja akibadili muundo na maana ya hoja.

Ukimuuliza athibitishe kuwepo kwa Energy na Gravity
Mara nyingi badala ya kutoa uthibitisho atajibu
"Hazithibitishi uwepo wa Mungu"
"Hujathibitisha uwepo wa Mungu"
 
Last edited by a moderator:

Ukishajadiliana na kunijibu katika thread hii tu una muda wa kifikiri sababu yangu ya kukataa kiwepo kwa mungu.

Tatizo si muda.

Tatizo ni hoja.

Bora ungeandika "Sina hoja ya kikujibu...."

Hivi, kati yangu mimi nonayesema mwanadamu ana haki ya ku question kila kitu, mpaka ku question uwepo wa mungu, na wewe unayekubali mungu aliyeandikwa katika vitabu vilivyoandikwa tangu enzi za ujinga, nani anakariri hapa?

Mimi nikishindwa kuthibitisha kuwepo kwa energy na gravity, hilo linathibitisha mungu kuwepo?

What kind of perverted logic is that?
 
Last edited by a moderator:

Mimi kushindwa kuthibitisha kuwepo kwa energy au gravity kunathibitisha kuwepo kwa mungu?

Kati yangu ninayesema vitu vyote tunatakiwa kuvihoji, mpaka huyo mungu na uwepo wake, na wewe unayekubali mapokeo ya miaka na miaka bila ya kuweza kuyathibitisha, nani anakariri?
 
Last edited by a moderator:
Kiranga perveted logic at work.
Sijaandika energy na gravity vinathibitisha uwepo wa Mungu, nimekuomba mwanasayansi wewe unisaidie nitibu kiu yangu ili niweze kufahamu ukweli juu ya uwepo wa energy na gravity.
Wewe Una kiu ya kujiuliza na kuuliza hata kuhusu mungu na ushahidi wa kuwepo kwake na Mimi nakuuliza vile ambavyo wewe unajinasibu kuwa mjuvi.

Mimi sijakataa juu ya haki ya Ku question uwepo wa Mungu na wala hata Vitabu vilivyoandika habari za Mungu muumbaji ninayemwamini Mimi havijakataa ku question kuhusu Muumba.
Unathibitisha ulivyokubuhu katika Ujinga kuamini kwamba kuna enzi za ujinga na enzi za ujuzi. Ni kiwango cha juu Sana cha ujinga na ulimbukeni kuishi ukiamini kwamba kulikuwa na enzi za ujinga na hizo enzi zimekwisha.
Sijui nikusaidieje kukutoa kwenye ujinga wa aina hiyo. Kuongezeka kwa maarifa na ufahamu hakufanyi ujinga uwe umeondoka, ujinga upo na ubaobekana kwa rahisi zaidi sasa kuliko enzi zile ambazo mjinga wewe unaamini zilikuwa za ujinga.
Siamini Kama kuna uninga zaidi ya kuamini na kuishi ukiamini kwamba dunia ni matokeo ya mparanganyiko usio na busara nyuma yake na uliotokana na nguvu zilizokuwa zimejitokeza pasipo mpango na kutengeneza mpangilio maalum baada ya kujisusuka kwa kipindi cha mamilioni ya miaka (mind ya nyumbu perse)
Zaidi Sana Mimi nimekuwa nikimjadili Mungu muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, tunavyovijua na tusivyovijua wewe kwa ujinga tu umeamua kujikita kujadili Mungu wa vitabuni ili upate namna ya kujikinga ujinga wako.
Nataka uthibitishe kuwepo kwa energy na gravity sio kwa sababu uthibitisho wako unathibitisha uwepo wa Mungu lah, bali nami Nina question uwepo wa vitu ambavyo vitabu wa wajuzi wa kukariri Kama Kiranga vinasema vipo

Achana na default position wewe sio nyumbu ni binadam unatakiwa kuyaishi mazingira ya kila hoja kwa yaliyomo ndani na sio kutoa jibu moja kwa kila hoja.
 
Last edited by a moderator:

Hakuna pahala nimesema kuwa kuna uhusiano wa energy na gravity na uwepo wa Mungu. Ni katika majinga jinga yako tu.
Wapi Mimi nimesema hairuhusiwi kuhoji vitu vyote ?
Wapi imeandikwa Mungu asihojiwe ? Mungu mwenyewe ninayemwamini anasisitiza ujuzi na kuwa na maarifa ili tusiangamie. Unaeza pata maarifa pasipo kujihoji na kuhoji, majinga jinga yako peleka kwenye club zenu sio hapa. Hapa jibu hoja kwa hoja.
Thibitisha mapokeo ya uwepo wa Energy na Gravity ili nami nijue badala ya kuamini tu.
 

Inaamaana mtu asiseme kuwa imani yake kama ni ya kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…