Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Ndugu Msomaji,

Fuatilia hapa In Sha Allah tutajitahidi kuweka mambo yanayosibu nchi yetu toka tupate uhuru mwaka 1961...

Ninaandika kitabu kuhusu siasa za Tanzania na jinsi dini inavyotawala hisia za watawala walio madarakani. Katika sura moja ninaeleza namna Jakaya Mrisho Kikwete alivyoweza kufanya kampeni kwa miaka kumi na hatimae akaweza kuchaguliwa kuwa rais...lakini haikuwa kazi nyepesi kwa mara ya kwanza 1995 alipojaribu juhudi zake zilipata upinzani wa chinichini..

Nakuwekea hapa msomaji yale niliyoandika katika mswada wangu.

Nia ni kuangalia ni kweli Mwalimu Nyerere aliacha taifa lisilo na udini, lenye mshikamano wa kweli na umoja?:

''But before the conference Kikwete went on record to complain that the secretary of the party Dr. Lawrence Mtazama Gama, a Catholic, and hailing from the south like Mkapa was undermining his campaign on religious grounds. Nyerere who had earlier and eloquently promised him that he would take care of religious sentiments for Kikwete, was suddenly dead silent. For a time it seemed as if the party was to engulf into a religious crisis involving its own top leadership. Religion was a sensitive issue and CCM had always maintained that the party did not discriminate its members on religious grounds. The conflict between Kikwete and Gama was an embarrassment to the party. In a strange turn of reconciliation effort CCM issued a statement that Gama had apologised to Kikwete. It is a pity that Kikwete did not reveal what religious issue became the source of conflict that the party had Gama to apologise. The thought of Gama apologising to Kikwete was a humiliation to Gama not only because of his seniority but because of other factors...''

Hii ndiyo hali ilikuwapo wakati Kikwete na Mkapa wanaelekea Dodoma kwenye mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM itakaochagua mgombea wa CCM. Hapa Khalfan Mrisho Kikwete, Muislam alikuwa anakwenda kupambana na Benjamin William Mkapa Mkatoliki mfuasi wa kanisa lenye nguvu kupita kiasi Tanzania...

Fatilia ukarasa huu kwa mengine In Sha Allah...

''Mkapa was forced to pick his campaign committee from people outside the inner circle of the party. Two newspapers publishers were in his committee Damian Ruhinda and Jenerali Ulimwengu. The special NEC Conference convened to elect one CCM member to stand for presidential candidate elected Jakaya Mrisho Kikwete in the first round with Mkapa coming close second and Msuya was last. But since he had not commanded an absolute majority voting had to be repeated. There was tension in the conference hall as CCM delegates voted to choose between Kikwete and Mkapa. Christians were heard to whisper to each other that they should not again allow a Muslim to govern the country, never again they whispered to each other.

And when Mkapa won hymns were sung.''

Huu ndiyo ukweli wa siasa za Tanzania... dini haichezi mbali.

Lakini ili ndugu mfuatiliaji upate picha halisi ya nini kilikuwa kinafanyika nyuma ya pazia itabidi nimlete mgombea mwingine aliyekuwa mwanachama wa CCM...

Prof. Kighoma Abdallah Ali Malima...

''The difference between Prof. Malima and Kikwete was that, while Kikwete really believed that he was a serious candidate for Nyerere, Prof. Malima knew Kikwete was thrown into the race by the Christian lobby to block him. The rule of the game was to play a Muslim against a Muslim. But Kikwete was too naive to understand that. His background had not prepared him to understand the intricacies of the politics of Tanzania as it relates to dealing with Islam and Muslims. If he had taken some time to think long and hard he would have realised that if experienced people like Malecela, Msuya and Kolimba were not seen as fit to rule the country despite of their long service to the country which span more than three decades how possible could he supersede them and be a better candidate than those old guards?''

Marehemu Malima alikuwa akihadithia mkasa huu wa mkutano wa Dodoma wa kuwafanyia usaili wagombea hakika akinitoa machozi kwa kucheka. Si kama yale aliyokuwa anahadithia yanachekesha hivyo bali kwa vile mtu unavyoweza kushangaa inakuwaje watu wazima wakachezewa vile na Nyerere na wao wasijijue kama wanachezewa. Malima alikuwa akinichekesha pale alipokuwa anasema yeye alipoingia kuhojiwa kamkuta Nyerere yuko ubavuni kwa Mwinyi utadhani wamekaa kiti kimoja. Ilikuwa lazima Kikwete aletwe kugombea vinginevyo wagombea wote wangekuwa Wakristo ukimtoa marehemu Prof. Malima. Hali ingelikuwa vile ingekuwa lazima Prof. Malima wamchague ama sivyo Waislam wangelikuwa hawamo katika mbio za kwenda Ikulu. Sasa Nyerere hakuweza kucheza na shilingi chooni. Prof. Malima na Mkapa washindane...hakuweza kutabiri matokeo kwani Prof. Malima akipendeza sana kwa umma wa Waislam...sababu za kupendeza huko ni kuwa Prof. Malima allijtolea kuiasa serikali kuwa kuna ubaguzi wa kidini dhidi ya Waislam nchini petu.

Turudi mwanzo tulikoanzia...

Rais Kikwete anasema, ''Mzee Nyerere yule ametuachia Taifa moja, lililoungana, lenye umoja, lenye amani na mshikamano...'' (Mwananchi Ijumaa, Aprili 18, 2014).

Hiyo hapo juu ni picha ya ya nchi yenye amani na mshikamano?

Jibu utakuwanalo wewe msomaji.

Waislam bila kificho wametembea nchi nzima kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania inaendeshwa na Mfumo Kristo na Waislam wanabaguliwa toka uhuru upatikane. Kwa kauli hiyo hapo juu ya Rais Kikwete ni kuwa kapuuza kilio cha Waislam.Kwake yeye hakuna dhulma na Waislam ni waongo kwani wao na Wakristo wote wana fursa sawa. Kanisa linatumia vyombo vya ulinzi kama jeshi lake binafsi. Waislam wanapigwa ndani ya misikiti na kufunguliwa kesi za kubambika. Kovu la Mwembechai la mwaka 1998 bado halijapona. Waislam wamesingiziwa kuwa ni magaidi na askari wemeingia katika vijiji vyao kuwapiga na kuwaua na misikiti yao kuchomwa moto. Haya yametokea Kilindi na jambo la kusikitisha vyombo vyote vya habari vimekataa kuandika habari hizi. Binafsi nimezungumza na vyombo vya habari vya kimataifa na kuwapa picha za video kuonyesha unyama waliofanyiwa Waislam. Wamekiri kuwa hakika dhulma imetendeka lakini hakuna hata chombo kimoja kilichokuwa na ujasiri wa kufanya kitu. Majuma mawili yaliyopita Masasi Waislam wameingiliwa msikitini baada ya sala ya Ijumaa na kupigwa kwa kusingiziwa ati wamemtukana Yesu. Baada ya kipigo hicho wamfunguliwa kesi ya uchochezi. Swali la kujiuliza ni hili kwa nini Waislam hawapelekwi mahakamani ila sisi ni kupigwa kisha ndiyo tunafikishwa mbele ya vyombo vya sheria?

Ndugu msomaji hii ndiyo amani aliyotuachia chembelecho Rais Kikwete, Mzee Nyerere? Hili ndilo taifa moja, lililoungana, lenye umoja, lenye amani na mshikamano? Rais Kikwete kipi kinamfanya ajifanye kuwa haujui ukweli?
 
Utaambiwa unatukana na kukejeli viongozi wao.
 
Inaonekana mtu akishaingia kwenye system anakuwa haoni, mtu akishakula mema ya nchi anawasahau wenzake, kwa hilo hata mimi sishangai... kwenye ulaji unaweza ukajikuta unasimama mwenyewe tu...
 
Halafu unajua hautakiwi kumkashifu Nyerere baba wa taifa, juzi kati nilisikia wakisema bungeni baadhi ya wajumbe Nyerere ni mtakatifu...
 
Mzee Mod Said mbona tunasikia kuwa chaguo la kwanza la Nyerere 1995 lilikuwa ni Dr Salim A Salim. Hebu jaribu kumuuliza Dr Salim kama ni kweli alishawahi kuapprochiwa na mkatoliki Nyerere. Tena inasemekana Nyerere alikasirika sana alipokataliwa na Dr Salim A Salim.
 
Sheikh Mohamed Said nimepitia hii bayana yako ukweli mtupu.
 
Last edited by a moderator:
Uongo mtupu Nyerere hakuwa akimtaka salim awe rais 1995.

Bali palikuwaje/ ilikuwaje..!?

Kama huna la kuchangia naomba upitilize, hapa kama unalo la kuwafumbua watu/ kupinga bandiko kutwa hapo juu, basi nawe tugeiye maelezo ya kutosha si kuvuruga ukumbi kama mlevi.
 
Shukran sana Sheihk Mohamed said.

Huu udini pia nimekua nikiutafakari kupitia OIC.zanzibar walikatakiliwa kujiunga na oic kwa sababu sio nchi wasubiri Tanzania itajiunga

kwenye mchakato wa katiba wale wazanzibari wanachama wa CCM wanasema tumekubali serikali mbili kwa kuwa mambo yetu yote yamekubaliwa ikiwemo na OIC .

sasa najiuliza kipi kimetokea.na sisi waTanzania bara OIC ndo zanzibar wametusaliti au ndo ile islam phobia ya Lukuvi.
 
Uongo mtupu Nyerere hakuwa akimtaka salim awe rais 1995.

Nyerere alimtaka Salim awe Rais ya JMT lkn sii kwa uislam suala ilikuwa kubalance n'neutralize suala la unguja na Pemba. Historia hii ni ndefu kidogo kama siyo sana
 
Pamoja na UISLAMU Wangu lakini naamini kwa dhati kabisa....... Nyerere is the best and true citizen than anyone among us.
Waandishi wote(wengi) wa kizanzibar wanajaribu bila mafanikio kuyafuta mema yote ya nyerere na kutukuza uzushi dhidi yake. Huu ni upuuzi was kiarabu ambao hatutaupa nafasi kamwe.
Huyo muandishi mwenyewe inasemekana ni miongoni mwa WAFADHILI WA UAMSHO
 
Notradamme,
Hakika hilo la kuwa mfadhili wa UAMSHO nalipenda sana na laiti Allah Subhana Wataala
angelinijalia uwezo mali yangu ingekuwa wazi kwao kuwapa ili waitangaze dini ya Allah.
 
Mohamed said udini upi kama mfumo kristo ungekunyanyasa ww zaidi ya miaka arobaini umetumikia mamlaka ya bandari mpaka umestahafu na umelipwa mafao yako bila usumbufu. Mke wako alichaguliwa katika tume ya Warioba ya katiba amezoa mamilioni ya shilingi acha kelele za kijinga kuchochea chuki za kidini.
 
Shukran sana Sheihk Mohamed said.

Huu udini pia nimekua nikiutafakari kupitia OIC.zanzibar walikatakiliwa kujiunga na oic kwa sababu sio nchi wasubiri Tanzania itajiunga

kwenye mchakato wa katiba wale wazanzibari wanachama wa CCM wanasema tumekubali serikali mbili kwa kuwa mambo yetu yote yamekubaliwa ikiwemo na OIC .

sasa najiuliza kipi kimetokea.na sisi waTanzania bara OIC ndo zanzibar wametusaliti au ndo ile islam phobia ya Lukuvi.

Pol Pot,
Historia ya Zanzibar pamoja wa mkasa wa OIC nimeuweka wazi katika website yangu.
 
Mohamed said udini upi kama mfumo kristo ungekunyanyasa ww zaidi ya miaka arobaini umetumikia mamlaka ya bandari mpaka umestahafu na umelipwa mafao yako bila usumbufu. Mke wako alichaguliwa katika tume ya Warioba ya katiba amezoa mamilioni ya shilingi acha kelele za kijinga kuchochea chuki za kidini.

Kalanjadd,
Umeandika vyema isipokuwa hayo maneno ''acha kelele za kijinga.''

Kwangu inakuwa tabu kujibu matusi.
 
Pamoja na UISLAMU Wangu lakini naamini kwa dhati kabisa....... Nyerere is the best and true citizen than anyone among us.
Waandishi wote(wengi) wa kizanzibar wanajaribu bila mafanikio kuyafuta mema yote ya nyerere na kutukuza uzushi dhidi yake. Huu ni upuuzi was kiarabu ambao hatutaupa nafasi kamwe.
Huyo muandishi mwenyewe inasemekana ni miongoni mwa WAFADHILI WA UAMSHO
Sasa ukitanguliza kujiita Muislam ndiyo iweje kwani hakuna Waislam wanafiki, wametajwa kwingi.
 
Mzee Mod Said mbona tunasikia kuwa chaguo la kwanza la Nyerere 1995 lilikuwa ni Dr Salim A Salim. Hebu jaribu kumuuliza Dr Salim kama ni kweli alishawahi kuapprochiwa na mkatoliki Nyerere. Tena inasemekana Nyerere alikasirika sana alipokataliwa na Dr Salim A Salim.

Chintu,
Kisa hicho kipo lakini kwa hapa tutatoka nje ya maudhui.
 
Ndugu Msomaji,

Fuatilia hapa In Sha Allah tutajitahidi kuweka mambo yanayosibu nchi yetu toka tupate uhuru mwaka 1961...

Ninaandika kitabu kuhusu siasa za Tanzania na jinsi dini inavyotawala hisia za watawala walio madarakani. Katika sura moja ninaeleza namna Jakaya Mrisho Kikwete alivyoweza kufanya kampeni kwa miaka kumi na hatimae akaweza kuchaguliwa kuwa rais...lakini haikuwa kazi nyepesi kwa mara ya kwanza 1995 alipojaribu juhudi zake zilipata upinzani wa chinichini..

Nakuwekea hapa msomaji yale niliyoandika katika mswada wangu.

Nia ni kuangalia ni kweli Mwalimu Nyerere aliacha taifa lisilo na udini, lenye mshikamano wa kweli na umoja?:

''But before the conference Kikwete went on record to complain that the secretary of the party Dr. Lawrence Mtazama Gama, a Catholic, and hailing from the south like Mkapa was undermining his campaign on religious grounds. Nyerere who had earlier and eloquently promised him that he would take care of religious sentiments for Kikwete, was suddenly dead silent. For a time it seemed as if the party was to engulf into a religious crisis involving its own top leadership. Religion was a sensitive issue and CCM had always maintained that the party did not discriminate its members on religious grounds. The conflict between Kikwete and Gama was an embarrassment to the party. In a strange turn of reconciliation effort CCM issued a statement that Gama had apologised to Kikwete. It is a pity that Kikwete did not reveal what religious issue became the source of conflict that the party had Gama to apologise. The thought of Gama apologising to Kikwete was a humiliation to Gama not only because of his seniority but because of other factors...''

Hii ndiyo hali ilikuwapo wakati Kikwete na Mkapa wanaelekea Dodoma kwenye mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM itakaochagua mgombea wa CCM. Hapa Khalfan Mrisho Kikwete, Muislam alikuwa anakwenda kupambana na Benjamin William Mkapa Mkatoliki mfuasi wa kanisa lenye nguvu kupita kiasi Tanzania...

Fatilia ukarasa huu kwa mengine In Sha Allah...

''Mkapa was forced to pick his campaign committee from people outside the inner circle of the party. Two newspapers publishers were in his committee Damian Ruhinda and Jenerali Ulimwengu. The special NEC Conference convened to elect one CCM member to stand for presidential candidate elected Jakaya Mrisho Kikwete in the first round with Mkapa coming close second and Msuya was last. But since he had not commanded an absolute majority voting had to be repeated. There was tension in the conference hall as CCM delegates voted to choose between Kikwete and Mkapa. Christians were heard to whisper to each other that they should not again allow a Muslim to govern the country, never again they whispered to each other.

And when Mkapa won hymns were sung.''

Huu ndiyo ukweli wa siasa za Tanzania... dini haichezi mbali.

Lakini ili ndugu mfuatiliaji upate picha halisi ya nini kilikuwa kinafanyika nyuma ya pazia itabidi nimlete mgombea mwingine aliyekuwa mwanachama wa CCM...

Prof. Kighoma Abdallah Ali Malima...

''The difference between Prof. Malima and Kikwete was that, while Kikwete really believed that he was a serious candidate for Nyerere, Prof. Malima knew Kikwete was thrown into the race by the Christian lobby to block him. The rule of the game was to play a Muslim against a Muslim. But Kikwete was too naive to understand that. His background had not prepared him to understand the intricacies of the politics of Tanzania as it relates to dealing with Islam and Muslims. If he had taken some time to think long and hard he would have realised that if experienced people like Malecela, Msuya and Kolimba were not seen as fit to rule the country despite of their long service to the country which span more than three decades how possible could he supersede them and be a better candidate than those old guards?''

Marehemu Malima alikuwa akihadithia mkasa huu wa mkutano wa Dodoma wa kuwafanyia usaili wagombea hakika akinitoa machozi kwa kucheka. Si kama yale aliyokuwa anahadithia yanachekesha hivyo bali kwa vile mtu unavyoweza kushangaa inakuwaje watu wazima wakachezewa vile na Nyerere na wao wasijijue kama wanachezewa. Malima alikuwa akinichekesha pale alipokuwa anasema yeye alipoingia kuhojiwa kamkuta Nyerere yuko ubavuni kwa Mwinyi utadhani wamekaa kiti kimoja. Ilikuwa lazima Kikwete aletwe kugombea vinginevyo wagombea wote wangekuwa Wakristo ukimtoa marehemu Prof. Malima. Hali ingelikuwa vile ingekuwa lazima Prof. Malima wamchague ama sivyo Waislam wangelikuwa hawamo katika mbio za kwenda Ikulu. Sasa Nyerere hakuweza kucheza na shilingi chooni. Prof. Malima na Mkapa washindane...hakuweza kutabiri matokeo kwani Prof. Malima akipendeza sana kwa umma wa Waislam...sababu za kupendeza huko ni kuwa Prof. Malima allijtolea kuiasa serikali kuwa kuna ubaguzi wa kidini dhidi ya Waislam nchini petu.

Turudi mwanzo tulikoanzia...

Rais Kikwete anasema, ''Mzee Nyerere yule ametuachia Taifa moja, lililoungana, lenye umoja, lenye amani na mshikamano...'' (Mwananchi Ijumaa, Aprili 18, 2014).

Hiyo hapo juu ni picha ya ya nchi yenye amani na mshikamano?

Jibu utakuwanalo wewe msomaji.

Waislam bila kificho wametembea nchi nzima kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania inaendeshwa na Mfumo Kristo na Waislam wanabaguliwa toka uhuru upatikane. Kwa kauli hiyo hapo juu ya Rais Kikwete ni kuwa kapuuza kilio cha Waislam.Kwake yeye hakuna dhulma na Waislam ni waongo kwani wao na Wakristo wote wana fursa sawa. Kanisa linatumia vyombo vya ulinzi kama jeshi lake binafsi. Waislam wanapigwa ndani ya misikiti na kufunguliwa kesi za kubambika. Kovu la Mwembechai la mwaka 1998 bado halijapona. Waislam wamesingiziwa kuwa ni magaidi na askari wemeingia katika vijiji vyao kuwapiga na kuwaua na misikiti yao kuchomwa moto. Haya yametokea Kilindi na jambo la kusikitisha vyombo vyote vya habari vimekataa kuandika habari hizi. Binafsi nimezungumza na vyombo vya habari vya kimataifa na kuwapa picha za video kuonyesha unyama waliofanyiwa Waislam. Wamekiri kuwa hakika dhulma imetendeka lakini hakuna hata chombo kimoja kilichokuwa na ujasiri wa kufanya kitu. Majuma mawili yaliyopita Masasi Waislam wameingiliwa msikitini baada ya sala ya Ijumaa na kupigwa kwa kusingiziwa ati wamemtukana Yesu. Baada ya kipigo hicho wamfunguliwa kesi ya uchochezi. Swali la kujiuliza ni hili kwa nini Waislam hawapelekwi mahakamani ila sisi ni kupigwa kisha ndiyo tunafikishwa mbele ya vyombo vya sheria?

Ndugu msomaji hii ndiyo amani aliyotuachia chembelecho Rais Kikwete, Mzee Nyerere? Hili ndilo taifa moja, lililoungana, lenye umoja, lenye amani na mshikamano? Rais Kikwete kipi kinamfanya ajifanye kuwa haujui ukweli?

Shukrani sana Mohamed Said kwa hii bayana yako!

Kwa hakika kuna mengi mno ya kuhudhunisha alofanya huyo kiumbe Nyerere!

Hii aione huyu mfia unyerere Manyerere Jackton
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom