Hujui unaloliongea
Anyway nikuulize swali moja tuh na naomba utoe jibu
Nyerere alikua kiongoz wa taifa lisilo na dini
Kipi sasa kilimpa ujasiri yeye kuchukua sheria mkonon na kuwaundiavwaislam chombo haram cha bakwata ili eti kiwaratibu kwa niaba yake??
Yeye ni mkatoliki kipi kilimzuia kuwaingilia nyinyi wakatoliki wenzake kwenye masuala ya iman??
Kwa hilo utakanusha vip kuwa yeye nyerere sie muasisi wa mfumo kristo??
Utakataa vip kuwa chanzo cha udini kwenye taifa hili ni yeye??
Ona wanachokifanya kina lukuvi makanisani
Wamefanya hivyo kisiri siri miaka mingi sana
Mungu hamfichi mfitini ona sasa kawaumbua nana wanadhalilika waz waz
Hii nchi nyerere akitaka kuifanya iwe ya kikatoliki iwe inapokea amri kutoka vatican
Kafa zake na misssion zake zote zimefeli
Nyerere alikuwa kiongozi wa taifa lisilo na dini ila watu wake walikuwa na dini.
Mwalimi alikuwa na makosa mengi tu lakini hayo makosa si kwa sababu ya udini.
Mwalimu alikuwa ana mazuri mengi tu, lakini si kwa sababu ya udini.
Taja shule tatu ama taasisi ya kisilamu, hospital ama chochote ambacho mwalimu alikitaifisha kutoka kwa waislamu?
Unachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba mkoloni wa kizungu ndiye alikuwa anahimiza elimu dunia na ndiye aliyejenga mashule, mahospitali nk. Huyu mkloni alikuwa analazimisha kwenda shule zake lazima uwe na jina linalofanana na la kwao. Hivyo, huyu mkoloni aliendeleza sana sehemu alikokuwa anakubalika zaidi. Na ndiyo maana, Wachaga, wanyakusa, wahaya waliendelea kielimu toka enzi hizo. Wakati wamasai, wasukuma, wazaramo, wazanaki wakiachwa nyuma.
Tumshukuruni Mwalimu, leo tungekuwa tunaimba nyimbo tofauti kabisa.
Hiyo ya BAKWATA, mie sifahamu chimbuko lake, lakini wenda waislamu wa wakati huo walimuomba awasaidie kuanzisha chombo hicho maana na sehemu ya ibada. Ni sawa sawa kama leo mnavyoomba KADHI, kama si vivyo kwanini msianzishe tu kadhi??
Sasa mfano mie nikija mwaka 2015 nikawa Rais wenu, nikaona kuna mantiki yakuwasaidia kuanzisha KADHI nikawapa pesa na ikawepo, basi kitakua ni chombo changu KADHI nimewaanzishia waisilamu?
Na ndiyo maana kuepuka haya mambo ya kubambikiana kwamba BAKWATA ni ya NYERERE, tujifunze kutokea hapo kwamba vyombo vyote vya DINI vianzishwe na wana dini wenyewe. Maana watu baadae hawatachelewa kusema KADHI ya KIKWETE ama KADHI ya JOHN, kwamba kwanini kadhi ilianzishwa na JOHN.
Dude!