THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Nasema, huyu Mwamedi Saidi, ajitokeze kwenye vyombo vya habari kama yeye kweli na rhetorics zake za Uislamu dhidi ya Ukristo, badala ya kujificha kwenye mtandao.
Siku zote amekuwa akijificha kwa wengi wanaomfahamu kupitia mfumo wa misikiti na harakati za Uislamu, lakini nasema ajionyeshe wazi kwenye mijadala ya wazi na huru kama hii yeye ni nani ili nchi nzima imfahamu kwa kujitoteza wazi kwenye vyombo vya habari vya kitaifa kila mtu amfahamu ikiwamo wazee wetu wenye umri kama yeye.
Mwamedi Saidi kama ungekuwa na hoja za msingi na kitaifa zaidi, tungekusikia long time kwenye vyombo vya habari vya kawaida. La ajabu, hakuna mtu anayekufahamu wewe na extreme views zako za Uislamu dhidi ya Ukristo zaidi ya jukwaa mbadala la JF. La msingi, na ninachojaribu kusema hapa ni kwamba wewe not only are truly irrelevant, but are a big coward!
Unaona ulvyo fa.la sasa??
Moh said unadhani ni wa humu humu JF tuh??
Kumbe kweli ww choko hujui hata unazungumza nin aiseee
Moh said hafamiki tuh TZ yako hii
Bali ni worldwide
Na hajifichi yuko wazi wazi
Hata hapa JF kaja since 2008 na yuko mwenyewe verified ajifiche nyuma ya keyboard amuogope nan??
Aogope punga km ww au nani hasa??