Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Chief kama umeniandia mm asee..
 
Mzazi unajinyima ili kumsomesha mwanao wa kike, kumbe kuna njemba linaishi nae kama mkewe huko chuo. Aisee!!
 
Extrovert.

Never ever give up.

Never deny yourself a chance to enjoy the sweetness of sexual relationship based on choices of your previous touch.

Keep walking and move on.

Best wishes Extrovert.
 
Mzazi unajinyima ili kumsomesha mwanao wa kike, kumbe kuna njemba linaishi nae kama mkewe huko chuo. Aisee!!

Men and women are social animal. Let them enjoy social space. A good percentage of exemplary couples emerged through similar model.
 
Uache matusi bwana.
Kwani unafikiri nilitukana? hapana mkuu,mimi nilitukanwa nikajaribu kujitetea,cha ajabu mimi nikapigwa ban,najua mods wananichukulia mimi ndio mwanzilishi wa fujo wakati mimi nimeacha siku nyingi na sasa hivi nimerudi kwa Mungu.
 
Mzazi unajinyima ili kumsomesha mwanao wa kike, kumbe kuna njemba linaishi nae kama mkewe huko chuo. Aisee!!
Ha ha ha ha ndio maanake na makofi anachezea kama kawa! Ndio maisha sa tutafanyaje?
Mahari zipo juu harusi ndio usiseme wacha tuinjoy ndoa bhana mkuu. Kweli waliooa wanafaidi, kupikiwa,kufuliwa kupewa elastic device... Natamani mke sana now!!!
 
Kwani unafikiri nilitukana? hapana mkuu,mimi nilitukanwa nikajaribu kujitetea,cha ajabu mimi nikapigwa ban,najua mods wananichukulia mimi ndio mwanzilishi wa fujo wakati mimi nimeacha siku nyingi na sasa hivi nimerudi kwa Mungu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti umerudi kwa Mungu.
Basi vizuri, keep being a good boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…