Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ila wanaume wanaaminika?Ni mtazamo ila unaegemea kwenye ukweli kwa 90%.Wanawake hamuaminiki.
Mimi namuamini Mama angu Mzazi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanaume wanaaminika?Ni mtazamo ila unaegemea kwenye ukweli kwa 90%.Wanawake hamuaminiki.
Mimi namuamini Mama angu Mzazi tu.
Sio mwanamke wa kumwamin ni mama yako tu,,,binadamu yeyote haaminiki kivyovyoteWa kumuamini ni M/Mungu pekee. Mama yako haaminiki pia. Yawezekana hata hiyo mimba aliyokuzalia ,alidhamiria kuitoa lakini ikaokolewa na madaktari, baada ya zoezi la kuitoa kumletea madhara na kupoteza fahamu.Alipopelekwa hospitali na ilivyogunduliwa dhamira yake, akawekwa chini ya uangalizi,ndiyo ponapona yako hadi ukazaliwa.
Pole sana mkuu, we janga lako lilikuwaje hebu nipe in brief tupeane moyo. Wanawake wanaumiza sana hisia hasa ukiwa umechukulia kiungwana sana!Story yako inanikumbusha Makovu niliyonayo mkuu wanawake syo wa kuwapa dhamana hata kdogo.
Kwann mkuu?Acha ujinga.
Ni makubaliano tu mzee, We hujaona couples zinakaa mageto for years mpaka wanapoamua ku make it official kwa harusi. Yaweza kuwa ni njia moja ya kuenzi kile mlichonacho miyoyoni mwenu. Its all love and respect.Staying under one roof,....!!! Hujaoa mzee
I should live with it now kuwa sitakiwi kuweka stakes zozote kwa mwanamke. Its the 2nd time im doomed in the similar manner. Bora umfadhili muhuni huwa hatutupani ila kumfadhili mwanamke ni sawa na kujaza sukari baharini ukitegemea concetration ya chumvi iondoke kwenye maji!Ni mtazamo ila unaegemea kwenye ukweli kwa 90%.Wanawake hamuaminiki.
Mimi namuamini Mama angu Mzazi tu.
Una kifua lakini, usije kwenda kuungana na shilole kiuno segedance siku si nyingi. Hawa dada zetu ni kwikwi mzee.Mm naomb nisaidie hio bug ya kutrace log za mtu basss
Hayo nakubali na yote nimeweza mtimizia kwa kipindi chote toka tumeanza ila ilo la uhuru wa kupitiliza hapana. Kuna limits lazima ziwepo unless kama mtu huna mpango nae mnafurahishana tu. Ila katika uhusiano serious siwezi kunyamaza nikiona dalili za demu wangu anaelekea kuchepuka na mtu baki kwa kigezo chaNajua unaumia Ila pole sana,,,lakin pia shukuru mungu maana inaweza kua hakua chaguo sahihi LA moyo wako,labda nikuambie kitu kipya masikion mwako..... Mwanamke anahitaji mambo matatu makuu
(1) umuhakikishie kula vizuri
(2) umuhakikishie kuvaa vzri
(3) na kubwa kulko yote UMKUNE vzuri... nyongeza awe huru usiovuka mipaka na umkazanie hofu ya mungu,,hyo umesema kwa upande wake je upande wako ambao yy hakuwepo ulijizuia kiasi gan na michepuko,,au sababu yy hana utaalam wa kudukua mawasiliano yako??? Maandiko ya kisaikologia na kifalsafa yanasema hivi nanukuu:: Jinsi unavyomwona mwenzako siyo jinsi yeye alivyo Bali ni wewe ulivyo.... Inawezekana imotional entelegance yako ipo low....
Too bad na hii ndio aina ya maisha nitakayo anza kuishi. Demu atakuwa kitu additional tu in my timespace. Mishe zangu kwanza then yeye kama ataona namna gani aende ustawi akalalamike tu. Shiettt!!! Akishindwa aache wenzake wataweza yani no kubembelezana tena!Mimi pia yamenkuta ..alibadili namba lakn ktk kuntext siku moja akajikuta anatumia hyo namba kujakucheki akanambia ya shangaz ake lakn nilivyo ingia dp akawa kamuweka mchzi ake wakiwa wamebusuana na zngne wamekumbatiana na status yake ilikuwa amazingly... Mwili moyo uliwaka ckula cku tatu maana tulikuwa ktk mahusiano yapata miez 16. Wazaz wake wanajua ..baada ya cku tatu za maumivu makali nikampiga chini ..nnaaman kwasasa na mwamaume aliye namademu kbao kama mswati yupo hawez umia hata cku moja dawa nkuwanyisha nakuwadump no way. Ushauri mamen ucwe na dem mmoja kama taa ya Pikipiki ambayo ikipasuka baac unabaki na maumivu.
My dear kuna wanaowekeana yamini(sijui ndio hiyo).
Na kula viapo,wengine hadi vya damu. Na walaa hawakumbuki kuvivunja vikibuma.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nacheka kama mazuri.
Kuna dogo waliwekeana kiapo cha damu, mwisho bibie akasaliti na akaachana na jamaa, binti akaolewa. Sasa bwanamdogo anasubiri anasema bibie atarudi tu hata uzeeni maana ndio mkewe. Haya mambo jamani khaaaaah!!!
Be a Decent Guy anyway. Don't let the bitterness steal your sweetness.Too bad na hii ndio aina ya maisha nitakayo anza kuishi. Demu atakuwa kitu additional tu in my timespace. Mishe zangu kwanza then yeye kama ataona namna gani aende ustawi akalalamike tu. Shiettt!!! Akishindwa aache wenzake wataweza yani no kubembelezana tena!
Nadhani ukiwa na demu mmoja unajikuta unamjali sana kuliko anavyostahili na hili linawapa picha tofauti kuwa labda sio jambo la kawaida. Wao wamezoea kusumbuliwa kihisia ndio wanakuwa stable. Maybe! Maana ma player huwa hawasumbuliwi na wanawake in most cases tena ndio wanapendwa balaa. Ila sie decent guys ndio kuchwa kutwa vilio tu.